MSAADA: Hatua gani za kufuata unapotaka kuchukua mzigo bandarini toka nje?

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Naombeni msaada wanaJF ninamizigo yangu michache kutoka nje sasa itatumwa kwa sea shipping. Nitahitaji kufuata mambo yapi ya kimsingi na gharama kiasi gani zitahitajika?
Asante.
Radio Producer.
 
Naombeni msaada wanaJF ninamizigo yangu michache kutoka nje sasa itatumwa kwa sea shipping. Nitahitaji kufuata mambo yapi ya kimsingi na gharama kiasi gani zitahitajika?
Asante.
Radio Producer.

mkuu .tafuta clearing agent bana .... sheria za sasa za port na TRA lazma utumie agent ambapo kwanza lazima afanye application ya PCVR (Provisional Classification and Valuation Report) na baadae utapata CVR kutoka kwa TISCAN/TRA ..... mimi sio agent lakini naagiza vitu nje na kufanya clearance kwa kutumia agent ...
 
mkuu .tafuta clearing agent bana .... Sheria za sasa za port na tra lazma utumie agent ambapo kwanza lazima afanye application ya pcvr (provisional classification and valuation report) na baadae utapata cvr kutoka kwa tiscan/tra ..... Mimi sio agent lakini naagiza vitu nje na kufanya clearance kwa kutumia agent ...

si umpe contact zao wamsaidie ila wasimuue
 
Kwa bei nafuu na uaminifu wa hali ya juu unaweza kuwaona S.M.RASHID INV. LTD. Wako Kariakoo simu 0773740340\0777418450
 
Back
Top Bottom