Msaada haraka: mtoto analia siku nzima

Nawashukuru sana ndugu zangu nmepata elimu ya kutosha na naamini naendelea na ntaendelea kupata elimu zaidi na zaidi, hili la kunyonyesa na kumcheulisha mtoto nadhani ndipo lilipokuwepo tatizo ntajitahidi kumwelekeza mama mtoto
 
jaman wataalam nisaidieni mtoto wangu anawiki mbili lkn analia sana ananyonya kidogo anaendelea kulia, pia anakula vidole nisaidieni wengine wanasema maziwa ya mama labda mepesi hashibi sielewi huyu ni mwanetu wa kwanza plz niasaidieni
Tafuta mafuta ya zaituni mpake ktk paji lake la uso au usoni...Au waweza yatumia kama mafuta ya kumpakaa umalizapo kumkogesha usiku..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom