Msaada: Frequency za ATN na UBC ktk satellite Intelsat 906 64.2E

gnabry

Member
Jan 16, 2011
24
4
Wakati naperuzi website zenye frequency nimekutana na website, nilipoingia kwenye satellite yenye channel za kibongo nikakuta frequency za ATN na UBC na zinginezo. Tatizo ni kwamba nikiziweka hizi za ATN na UBC hazipatikani nimejaribu kujua sababu nimeshindwa kwa sababu hizo zote bado nimeona zipo ktk DVB-S na ni mpeg 2. Msaada, maoni au ufafanuzi wana JF please.
 
Dish la 8ft utapata UBC, ila ATN nadhani wameondoka kwenye satelile
 
Back
Top Bottom