Msaada jinsi ya kuset Dish

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
43,785
90,509
Wana Tech,
Nimepatwa na tatizo la kuset kidish kidogo. Nina set zifuatazo,
1. Dish dogo tu size kama ya Zuku vile sihitaji dish kubwa.
2. Ku Universal LNBF
3. Receiver aina ya Digitek Plus

Nashindwa kuelewa niset direction ipi ili niweze kupata local channels, shida yangu ni local channels hizo zingine hata zisipopatikana ni sawa tu.
Nimejaribu kuchek satellite nikaona Intelsat 906, 64E.

Naombeni msaada jinsi ya kuelekeza dish, frequencies nadhani sio ishu sana. Nikishapata signal nzuri nitatafuta frequencies za channels mbalimbali...
Asante..
 
Tafuta fundi umpe elfu 15 Kisha kaa nae karibu kumuuliza jinsi ya kufunga hapo utapata mwanga lakini kufundishwa kuset jf hautojua.

Exactly kiongozi, kukosa satellite finder inaleta tabu kidogo kwa vile inabidi mtu ufanye kukadiria, kitu ambacho sio rahisi sana...

Nitafanya hivyo, ila ujuzi wa fundi lazima nitauchukua..thanx mkuu!
 
Wana Tech,
Nimepatwa na tatizo la kuset kidish kidogo. Nina set zifuatazo,
1. Dish dogo tu size kama ya Zuku vile sihitaji dish kubwa.
2. Ku Universal LNBF
3. Receiver aina ya Digitek Plus

Nashindwa kuelewa niset direction ipi ili niweze kupata local channels, shida yangu ni local channels hizo zingine hata zisipopatikana ni sawa tu.
Nimejaribu kuchek satellite nikaona Intelsat 906, 64E.

Naombeni msaada jinsi ya kuelekeza dish, frequencies nadhani sio ishu sana. Nikishapata signal nzuri nitatafuta frequencies za channels mbalimbali...
Asante..

kwa hiyo LNBF ya ku huwez pata tz local channels ktk intelsat 906 labda jaribu amos5.you can get them at intelsat 906 by using c band lnbf
 
Wana Tech,
Nimepatwa na tatizo la kuset kidish kidogo. Nina set zifuatazo,
1. Dish dogo tu size kama ya Zuku vile sihitaji dish kubwa.
2. Ku Universal LNBF
3. Receiver aina ya Digitek Plus

Nashindwa kuelewa niset direction ipi ili niweze kupata local channels, shida yangu ni local channels hizo zingine hata zisipopatikana ni sawa tu.
Nimejaribu kuchek satellite nikaona Intelsat 906, 64E.

Naombeni msaada jinsi ya kuelekeza dish, frequencies nadhani sio ishu sana. Nikishapata signal nzuri nitatafuta frequencies za channels mbalimbali...
Asante..

Usijisumbue na kidish chako kidogo maana hakiwezi kuikamata intelsat 906.hiyo sat inakamatika kwaadish kuanzia ft6 na lnb cband
 
Mkuu hilo dish na hio lnb funga muelekeo wa Amos5 @17°E utapata local zote.Ni vizuri ukamtafuta fundi kama huna uzoefu hata kidogo.
 
Asanteni viongozi, nimefanikiwa kupata local channels zote FTA na kama nne za Kenya. Pia kuna nyingine nyingi tu za kidini na international news.

Sijatafuta fundi, wala kutumia finder, nimefanya kufuata uelekeo wa Azam na ikakubali Amos5 17°E, freq. 11139 Pol. V na SR 30000.
 
Mkuu idea ninayo sana sema nafahamu kuset analogia dish kwa uelekeo wa intelsat kidogo na dstv ila zuku, digtek, azam, continetal na chanel nyingine za analogia bado zinanisumbua.

Kila kitu ni kujifunza tu, unayo satellite finder??
 
Hapana mkuu sina sattelite finder ila kitambo kuna jamaa yangu nilikuwa nasoma nae sec alinipa sat finder ile yenye mshale kama wa voltmeter nikaipoteza ila ninaweza kununua tena kama zinapatikana.
 
Hizo za mshale its better ukatafuta tu app ya smartphone
 
satfinder nzuri andaa laki 4. Hapo utakuwa umemaliza kazi ila kama huna uwezo unaweza ukatumia rcv ya kawaida kama vile mediacom 930+ huwa zipo vizuri sana

Kuna duka kkoo msimbaz nyuma ya jengo la simba anauza around 200,000 hadi 300,000 ambazo ni smart.
 
hii hapa ni around laki 4 hivi ila mpaka kuagiza nje
 
Attachments

  • 1441444988131.jpg
    1441444988131.jpg
    53 KB · Views: 391
  • 1441445016325.jpg
    1441445016325.jpg
    17.2 KB · Views: 341
Back
Top Bottom