Msaada: Facebook page yangu imedukuliwa

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
232
651
Wakuu salamu,

Nina Facebook page yangu inaitwa "Mkatoliki Imara"..ni page iliyokuwa ina post content za dini tuuu.

Kuna jamaa waliidukuwa na wakaniondoa kuwa admin,ila details zangu zote bado zinaonekana kule.

Sasa wale jamaa wanaitumia page yangu hiyo kupromote website zao kwa kutumia content za ngono.

Kwa kuwa waliniondoa kuwa admin hivyo sina access yoyote ile ya kufanya ili wasipost.

Napata simu za watu wengi sana wakilaumu kwann napost picha za utupu kwenye page ambayo awali ilikuwa ilipost content za maswala ya kidini.

So,naomba msaada kwa yeyote yule mwenye utaalamu wa kuifunga au kuirudisha hiyo page kwenye controlling yangu

Kama yupo mwenye huo ujuzi anicheki basi kwa namba hii 0712778881
 
Yangu ilikuwa akaunti ya kawaida tu. Jamaa wa south Africa alifukuwa wakaea wanatumia kutangaza maswala ya ngono. Niliweza ku log in na kubadili neno la siri na kufuta contents zao mbaya.

Ushauri, jaribu ku report huko Facebook but ukiiacha Facebook wenyewe watakutumia alert for safety ndipo utafuata maelekezo watakayokupa kuhuisha akaunti
 
Nime report sana lakini hawa respond
 
Wakuu salamu,

Nina Facebook page yangu inaitwa "Mkatoliki Imara"..ni page iliyokuwa ina post content za dini tuuu.

Kuna jamaa waliidukuwa na wakaniondoa kuwa admin,ila details zangu zote bado zinaonekana kule.

Sasa wale jamaa wanaitumia page yangu hiyo kupromote website zao kwa kutumia content za ngono.

Kwa kuwa waliniondoa kuwa admin hivyo sina access yoyote ile ya kufanya ili wasipost.

Napata simu za watu wengi sana wakilaumu kwann napost picha za utupu kwenye page ambayo awali ilikuwa ilipost content za maswala ya kidini.

So,naomba msaada kwa yeyote yule mwenye utaalamu wa kuifunga au kuirudisha hiyo page kwenye controlling yangu

Kama yupo mwenye huo ujuzi anicheki basi kwa namba hii 0712778881
Mkuu hii ulifanikiwa kuirudisha?
Inaonekana una kauzembe fulani
 
Attachments

  • E515150C-599F-46DE-BE2C-99AED5BE279B.jpeg
    E515150C-599F-46DE-BE2C-99AED5BE279B.jpeg
    43.6 KB · Views: 27
Back
Top Bottom