Msaada Error 118 hasa nikifungua JF

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Heri ya mwaka mpya wand TGS Forum.

Wajuzi wa haya mambo naomba msaada.

Nimekuwa nataabika sana karibia mwezi sasa, nikifungua website ya Jamiiforums, haifunguki na inanipa error 118, inabidi nire-load several times ndio ikubali.

Tatizo linaweza kuwa nini? is it my computer? Na utatuzi wake ni nini?
Naomba msaada inanipa taabu sana.
 
Unaweza kutoa maelezo zaidi unatumia browser gani, na maelezo yanayokuja na hiyo error?
 
Nimejaribu browser zote, mozilla, internet explorer (the latest version), opera, na sasa natumia maxthon 3 lakini tatizo liko palepale
Cannot Connect to Website.htm_20130101154633.png
 
likely chrome!
Hiyo HTTP code inayommanisha "CONNECTION TIMED OUT"

Ina maana au mtandao uko taratibu kiasi kwamba muda uliowekwa wa kujaribu kukupeleka ulikoomba (request timeout) unakwisha. Hii inaweza kuwa ni tatizo la mtandao au virusi

vyovyote iwavyo tatizo sio "kirambazio" :)
 
mtandao ni mzuri, may be viruses ingawa nina antivirus nzuri na uptodate.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom