msaada; dell inspiron n 5050 hai connect wireless wala cable internet ni modem tu

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
wakuu naomba msaada wenu lap top yangu aina ya dell inspiron n 5050 haitaki kuunga wireless internet wala kwa cable

napata tabu sana kwani ofisini kuna wireless internet na cable pia inapatikana na lakini siwezi kuitumia kwa sababu ni haiungi.

naombeni msaada wenu
 
utakuwa huna drivers sasa ingia hapa .. computer > manage>device manager network adpters .. cheki ukiona ni ina kiulizo cha njano ujue ijawa installed kama una modem yenye kiasi cha bundle una right click unasema update driver
option nyingine NENDA LOCAL DISK C: \DELL \DRIVERS JARIBU KUINSTALL HIZO DRIVES JARIBU HIZO OPTION THEN NIPE MREJESHO
 
Asante sana Maganga Mkweli nimeona kweli drivers hazikuwa install na nimetumia option two nimefanikiwa kuinstall network adapters drivers.
lakini bado kuna other drivers bado ina kiulizo
 
Asante sana Maganga Mkweli nimeona kweli drivers hazikuwa install na nimetumia option two nimefanikiwa kuinstall network adapters drivers.
lakini bado kuna other drivers bado ina kiulizo
tuko pamoja ndugu sasa unaweza tumia option namba moja
start menu> computer > manage>device manager> mfano (others device ) halafu right click kuna option mbili
1.update driver automatically (hii inabidi uwe kwenye internet)
2.install drive mannually... hii lazima hiyo driver iwe kwenye computer na lazima ujue iko wapi..
kama unajua ni driver gani unaweza kwenda website ya dell uka download specific driver kwa kwa ajili ya pc yako unawezaa tembelea hii link inakupeleka moja kwa moja kwenye driver zako za dell inspiron n5050..

http://www.dell.com/support/drivers/us/en/04/Product/inspiron-15-intel-n5050?ref=ff32&s=bsd
 
tuko pamoja ndugu sasa unaweza tumia option namba moja
start menu> computer > manage>device manager> mfano (others device ) halafu right click kuna option mbili
1.update driver automatically (hii inabidi uwe kwenye internet)
2.install drive mannually... hii lazima hiyo driver iwe kwenye computer na lazima ujue iko wapi..
kama unajua ni driver gani unaweza kwenda website ya dell uka download specific driver kwa kwa ajili ya pc yako unawezaa tembelea hii link inakupeleka moja kwa moja kwenye driver zako za dell inspiron n5050..

Drivers & Downloads | Dell US
asante nimesha up date na sasa nipo ofisi nainjoi wireless internet asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom