Msaada: Degree ya busness administration enterprinuership and development Mzumbe

Coster1

Member
Jul 19, 2016
48
11
Naomba kuuliza kuhusu hiyo degree Katoka soko la ajira na pia kama no nzuri au ni some business administration pekee ahsanten
 
Soko la ajira lilivyo leo sio lazima liwe hivi hivi kesho. Kasome kwanza ila kumbuka sharti ni MOJA TU. KUWA MAHIRI.
 
Daah vijana bhana yani unataka kusoma enterprinuership alafu unatuuliza soko lake la ajira likoje?
Kwahali hii ndalichako inabidi afumue mitaala yote ya elimu.
Unaenda kusomea jinsi ya kutengeneza ajira afu unaulizia soko la ajira!!
 
Kuna business administration hapo ndani ndo maana nkauliza
 
Daah vijana bhana yani unataka kusoma enterprinuership alafu unatuuliza soko lake la ajira likoje?
Kwahali hii ndalichako inabidi afumue mitaala yote ya elimu.
Unaenda kusomea jinsi ya kutengeneza ajira afu unaulizia soko la ajira!!
Kozi nyingine bana et ujasiriamali unasomewa
 
Karibu Mzumbe....ikiwezekana anza tuition kabisa kabla hujaja....si pa mchezo mchezo...na hatupendi ujinga
 
mzumbe mbona pa kawaida sana?sometimes naona bora ifm kuliko mzumbe.
Ifuatayo ni orodha hiyo na nafasi za vyuo kimataifa:
1. University of Dar Es Salaam (World rank: 2035)
2. Sokoine University of Agriculture (World rank: 3008)
3. (1) Muhimbili University of Health and Allied Sciences (World rank: 3647)
4. Mzumbe University (World rank: 4052)
5. Mkwawa University College of Education (World rank: 6231)
6. Open University of Tanzania (World rank: 8059)
7. Hubert Kairuki Memorial University (World rank: 8519)
8. Saint Augustine University of Tanzania (World rank: 9422)
9. University of Dodoma (World rank: 9954)
10. DAR University Kampala International University of Uganda Dar es Salaam (World rank: 10179)
11. Ardhi University (World rank: 12120)
12. State University of Zanzibar (World rank: 13314)
13. Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (World rank: 14145)
14. Weill Bugando University College of Health Sciences (World rank: 14543)
15. Tumaini University Makumira University College (World rank: 14561)
16. Institute of Finance Management (World rank: 14572)
17. Dar Es Salaam Institute of Technology (World rank: 14978)
18. University of Iringa (World rank: 15444)
19. Saint John’s University of Tanzania (World rank: 16426)
20. College of Business Education (World rank: 16521)
21. Institute of Accountancy Arusha (World rank: 16755)
22. Mount Meru University (World rank: 17033)
23. Kilimanjaro Christian Medical University College (World rank: 17591)
24. International Medical & Technological University (World rank: 17888)
25. Teofilo Kisanji University (World rank: 18649)
26. Zanzibar University (World rank: 18709)
27. Mbeya University of Science and Technology (World rank: 18795)
28. Mwalimu Nyerere Memorial Academy (World rank: 18850)
29. Arusha Technical College (World rank: 19438)
30. University of Bagamoyo UoB Dar es Salaam (World rank: 19790)
31. Sebastian Kolowa Memorial University (World rank: 20142)
32. Muslim University of Morogoro (World rank: 20181)
33. University of Arusha (World rank: 20205)
34. Dar es Salaam University College of Education (World rank: 20349)
35. St Joseph University in Tanzania (World rank: 20471)
36. Tumaini University Stefano Moshi Memorial University College (World rank: 20819)
37. Moshi University College of Co-operative and Business Studies (World rank: 20942)
38. Tanzanian Training Center for International Health (World rank: 21189)
39. Archbishop Mihayo University College of Tabora (World rank: 21424)
40. St Francis University College of Health and Allied Sciences (World rank:21696)
41. Jordan University College (World rank: 21760)
42. Stella Maris Mtwara University College (World rank: 22086)
43. Sumait University (World rank: 22187)
44. Ruaha Catholic University (World rank:22586)
45. Tumaini University Dar es Salaam College (World rank: 22622)
46. (3) Tumaini University Institute of Agriculture (World rank: 22861)
47. Josiah Kibira University College (World rank: 22931)
48. United African University of Tanzania (World rank: 22981)
49. Mwenge Catholic University (World rank: 23139)
50. Tanzania International University (World rank: 23495)
51. Katavi Polytechnic College (World rank: 23728)
 
Shukran mkuu ckua nafaham hili

Back
Top Bottom