ndugu hyo koz ipo chuo cha maji Rwega? Infact hyo ni bonge la fani kwasababu hapo utakuwa una deal na quality control... na ukiangalia mamlaka ye2 ya maji hayana wa2 hao wa quality control.. Bali 2na wa2 waliosoma civil eng.. au water supply and resources ambao wana act ktk upande wa quality control kwa upande wa matechnician.. Kwaharaka 2 ni fani ambayo itakuwa na ajira.. na ninadhani hyo koz haina mda mrefu.. mamlaka nyingi za maji wanawa2mia malaboratory technicians.. So! Ndugu hapo umelamba dume.. Hapo utastand upande wa maji na chemical.. yan ni zaidi ya labo technicians..
ua welkum mkuu.. Ukiingia piga buku.. Isijekuwa una morali 2 ya kuulizia soko la hiyo koz shule ikakushinda. kwenye vyuo hivi ambavyo vipo chini ya nacte kuna technical supplimentary.. Mkuu ukienda chuo jipange..!
chuo cha maji kilikuwa kinatoa FTC tangu zamani mpaka nadhani 2008 kama sijakosea ndio kilianza kutoa hizo odinary diploma, na sio chuo cha maji tu, ni vyuo vyote vilihama kutoka system ya ftc to o'diploma ambayo ni equivalent na ftc/technician. kuhusu civil eng kushika nafasi za quality control nakataa mkuu kwa sababu water lab tech walikuwepo chuo cha maji tangu miaka hiyo, na hiyo civil eng ni ya udsm au maana pale walikuwa wanatoa technician tuu!!?? mie ni mdau secta ya maji na nawafahamu lab tech wa mamlaka nyingi piandugu hyo koz ipo chuo cha maji Rwega? Infact hyo ni bonge la fani kwasababu hapo utakuwa una deal na quality control... na ukiangalia mamlaka ye2 ya maji hayana wa2 hao wa quality control.. Bali 2na wa2 waliosoma civil eng.. au water supply and resources ambao wana act ktk upande wa quality control kwa upande wa matechnician.. Kwaharaka 2 ni fani ambayo itakuwa na ajira.. na ninadhani hyo koz haina mda mrefu.. mamlaka nyingi za maji wanawa2mia malaboratory technicians.. So! Ndugu hapo umelamba dume.. Hapo utastand upande wa maji na chemical.. yan ni zaidi ya labo technicians..
chuo cha maji kilikuwa kinatoa FTC tangu zamani mpaka nadhani 2008 kama sijakosea ndio kilianza kutoa hizo odinary diploma, na sio chuo cha maji tu, ni vyuo vyote vilihama kutoka system ya ftc to o'diploma ambayo ni equivalent na ftc/technician. kuhusu civil eng kushika nafasi za quality control nakataa mkuu kwa sababu water lab tech walikuwepo chuo cha maji tangu miaka hiyo, na hiyo civil eng ni ya udsm au maana pale walikuwa wanatoa technician tuu!!?? mie ni mdau secta ya maji na nawafahamu lab tech wa mamlaka nyingi pia