Kuna science, art na business unachagua combi mwenyewe then kuna masomo matatu ya lazima jumla yanakuwa 6Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)