MSAADA: Android na symbian phones.

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Habari zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia na kusoma kuhusu simu za android au symbian.But kiukweli sizijui ni simu gani.Na tofauti zake,coz zinaniumiza xana kichwa.Mf nokia 3210 nk ni mfumo gani? Ahsanteni
 
natumia android ya google


hizo nokia, mmmmnhhhh.. cyo mnato laini kwa kugusa na kufunction.....


ctak blacjbery wala uchafu gan......labda baadae nitahania iOS
 
Habari zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia na kusoma kuhusu simu za android au symbian.But kiukweli sizijui ni simu gani.Na tofauti zake,coz zinaniumiza xana kichwa.Mf nokia 3210 nk ni mfumo gani? Ahsanteni

Jaribu kuwa unacheki vitu kama hivi kwenye Google itakusaidia kuelewa zaidi kipi ni kipi.:focus:

Android mobile ni kama hizi smart phone za HTC,SAMSUNG GALAXY,Motorolla

Symbian mobile zinatumika na nokia isipokuwa hizi mpya Nokia lumina na N9 ndio hazitumii hizi operating systems.

Kwakifupi hizo ni operating system zinazotumika katika mobile device ila zipo nyingi kama Apple wana OS zao,BB nao pia na kuna meego na nk.

Kwa elimu zaidi rejea google.
 
Symbian os hazitengenezwi tena hivyo simu zenye hiyo system zitakuwa ni zile zilizotoka kabla ya 2010.
Android ndiyo the next os kwa cm za kisasa baada ya kuipiku windows mobile ya microsoft.
Hata hivyo ios ya iphone inaonekana kuwa popular ila inatumika kwa simu za apple tu.
Microsoft watatoa windows 8 hivi karibuni na itatumika kwa PC, tablets na simu, pengine ndiyo itakuwa mshindani wa Android
 
kwa kifupi.
Symbian ni OS ya nokia.kwa sasa wanatumia meego.symbian ipo so outdated kwenye dunia ya leo,hata hiyo meego bado san kuweza kupambana na OS nyingine.
android ni OS ya google inayotumiwa kwenye simu kama HTC,samsung etc.
Blackberry wanatumia blackberry os
Iphone kuna IOS.
OTIS
 
Meego naona inafanya vizuri tu ila tatizo nikwamba apps sio nyingi kama Android ambayo ni open source.
 
Back
Top Bottom