Msaada: Anayefahamu jinsi ya ku configure smart TV ionyeshe local Chanel bila king'amuzi cha nje

Kulikuwa na kikalatasi hapo nilikitoa sa sikumbuki kiliandikwaje ila kwenye source kuna vitu iviView attachment 1085590
Duh kwaiyo kwene iyo yng apo siwez kuunganisha?
20190501_194541.jpeg
 
K
kama sio smart mkuu usijichoshe maana itakuwa haina king'amuzi cha ndani chenye DVB-T/T2 na DVB-S/S2
Kwa hiyo wadau kunauwezekano wa kutumia Decoda dvbt/t2 ambayo sio ya makampuni ya ving'amuzi ili kuona hizo channel kwenye tv zisizo za smart? Km kuna anayetumia atupe taarifa Maana Aliexpress zina range kati ya 40,000/= na 50,000=
 
wapo wengi wanafanya hivyo ngoja tusubiri mwenye ushuhuda
 
K
Kwa hiyo wadau kunauwezekano wa kutumia Decoda dvbt/t2 ambayo sio ya makampuni ya ving'amuzi ili kuona hizo channel kwenye tv zisizo za smart? Km kuna anayetumia atupe taarifa Maana Aliexpress zina range kati ya 40,000/= na 50,000=
Usisahau kuweka usafiri si chini ya 25,000 kwa standard shipping na bila shaka lazima upigwe 20% ikifika posta.
 
Back
Top Bottom