Msaada: Anayefahamu jinsi ya ku configure smart TV ionyeshe local Chanel bila king'amuzi cha nje

Hayo mambo samsung ndio wanayo hayo matv ya kichina sidhani.
Acha uongo mkuu kitu Kama hujui afadhali ukae kumya tu, me na tv ya evvol nakula local channels na nyingine nyingi fresh tu bila king'amuzi niweka antena tu
 
Wakuu mi nimepata antena sasa nimeenda kusearch channel inaniuliza nichague kwanza nchi kwanza sasa nimetafuta nnchi ya tanzania nimeikosa nikahamua kuchagua south africa inaakanza kusearch channel zikaja sasa cha ajabu inakamata channel moja tu,za kitanzania zote azishiki nifanyaje ili za kitanzania zikamate
20190511_203448.jpeg
20190511_203040.jpeg
 
Wakuu mi nimepata antena sasa nimeenda kusearch channel inaniuliza nichague kwanza nchi kwanza sasa nimetafuta nnchi ya tanzania nimeikosa nikahamua kuchagua south africa inaakanza kusearch channel zikaja sasa cha ajabu inakamata channel moja tu,za kitanzania zote azishiki nifanyaje ili za kitanzania zikamateView attachment 1094512View attachment 1094513

Boss channel zote hizo za kulipia hizo. Uko mkoa gani?
 
Mrejesho: nimefanikiwa kupata chaneli kama 38 japo nyingine ziko scrambled na antena bdo ipo ndani nimeining'iniza tu dirishani nika scan zikaja hizo nadhani nikiitoa nje zitaongezeka. kwa sasa chanel za ndani napata DIZZIM TV, STAR TV, TBC1, CHANEL 10, CLOUDS TV, ITV, na chanel nyingine za ndani na nje bbc na aljazeera ndani
Kwangu imekubali moja tu,za kitanzania zinagoma tatizo linaweza kuwa nini
20190511_205025.jpeg
20190511_203448.jpeg
 
Asanteni wataalam wetu nimeset tv yangu imekubali ila channel zingine inaandi No CI module nafanyaje ili ambapo station inaonekana ipo ila picha haziji
 
Wakuu mimi natumia Hisense smart nimeweka hio antenna ya mwiba wa samaki juu kabisa ila sipati kabisa signals na sijapata channel hata moja. Je kuna mdau mwenye hisense amepata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho wakuu nmejaribu kuunganisha antena ikiwa ndan tu pasipo kuitoa nje na nimepata channel za hapa nyumban itv,startv,eatv,tbc,star tv na st.guide zingne zinaonekana majina tu ila ukiplay hazionyeshi nadhan kwa sababu ya antena sio ndefu na kumbuka nilikuwa najaribia tu ndan cjaitoa nje,hope nikiitoa nje nitapata channel nying zaid...natumia star x

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom