econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,537
- 22,906
Mbunge wa Arusha mjini Mh Mrisho Gambo amemshukia kama mwewe Godbless Lema kwa kitendo chake cha kutukana bodaboda, mamalishe na machinga wote kwa kumuita ni zumbukuku asiyejua kipi cha kuongea na kipi asiongee mbele ya jamii.
Gambo amesema kuwa Lema amelewa hela za kupewa hela na mabeberu kwa hadhi ya ukimbizi wake feki.
Siku hizi umekuwa bingwa wa propaganda. Unatengeneza stori ili kuwafurahisha kundi lako.