Mrija na kikombe

Any of the two!

what do you have to say? I hope you will not stop here, no wonder Yo Yo Said it is totally worthless and idiotic thread........

You say it is idiotic but yet you contribute to that very idiocy! What does that make you?
 
ww ulipokuwa unakunywa soda na biskuti za mini marie ulikuwa unatema biskuti humo!afu sasa soda inauwa mmh! kama hukukatazwa sawa banaa!

Hehehe them lips si zinabana kichwa cha chupa, then soda yote inaingia ndani.....soda tamu jamani...
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Na mrija wenyewe basi uwe ule mrija uliopinda,mirija mingine haivuti kimiminika vizuri!
yaani soda unakuwa unaivuta vizuri sana!!!!
 
Mie hahaha nakunywa mle mle kwani ya mrija hainoni,,pia kule kwetu IKUNGULYAMBESI mirija wapi bwana....mule mule tu itajijua yenyewe baadae
 
Uzuri wa Soda tena upate Coca Cola zile large size sio hizi Mountain Dew ambazo ziko kwenye chupa kama za juisi za Sayona
 
Mmmhhhh....maswali yanazidi kuongezeka. Hivi kwani kikombe na bilauri tofauti yake nini?

bilauri
nm chombo kama kikombe,chembamba kirefu na kisicho na mkono; gilasi.

kikombe
nm (vi) chombo cha kauri, chuma, madini nk kitumiwacho kunywea ~ kahawa
 
Back
Top Bottom