Jinsi ya kumpima mdada kama ana asilimia kubwa za kukubali au za kukukataa, kabla hujamtongoza

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results:

Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa sprite, siku unaongea naye wewe nunua take away ya sprite, uinywe mbele yake halafu umpe chupa hiyo hiyo naye ainywe, au muulize umnunulie soda gani akisema sprite, nunua sprite moja, ipige tarumbeta hapo mbele yake halafu umpe anywe. Mdada hatojua kuwa unampima

Akikataa kushea chupa ya soda na wewe, kwa gia ya kwamba umnunulie mpya, jua hauna mtu hapo..ukitongoza utakataliwa.
 
utoto tu unakusumbua! watu wako kwenye ndoa lakini wanakinyaa kushea tarumbeta au miswaki ! Halafu unaleta utoto humu!

nikajua jambo la maaana kumbe story za fb!
utoto raha sana yaani akili inawaza kula, kutawaza na kulala
 
Watu wa upinde mmevamia thread dmkali
 
utoto tu unakusumbua! watu wako kwenye ndoa lakini wanakinyaa kushea tarumbeta au miswaki ! Halafu unaleta utoto humu!

nikajua jambo la maaana kumbe story za fb!
utoto raha sana yaani akili inawaza kula, kutawaza na kulala
Umesahau kunya
 
"Utoto raha sana yaani akili inawaza kula, kutawaza na kulala"
 
Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results:

Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa sprite, siku unaongea naye wewe nunua take away ya sprite, uinywe mbele yake halafu umpe chupa hiyo hiyo naye ainywe, au muulize umnunulie soda gani akisema sprite, nunua sprite moja, ipige tarumbeta hapo mbele yake halafu umpe anywe. Mdada hatojua kuwa unampima

Akikataa kushea chupa ya soda na wewe, kwa gia ya kwamba umnunulie mpya, jua hauna mtu hapo..ukitongoza utakataliwa.
Litakuwa domo zege hili!
 
Back
Top Bottom