Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Mange ana wivu sana hataki mtu yoyote awe juu yake sasa kaona Zari yupo juu kamzidi kila idara basi roho inamuuma haishi kumponda Zari kwenye blog yake. Hata afanye nini Zari kamzidi. Zari mrembo bwana anatetemesha.

Fact.
Halafu hampendi Zari sbb ya Sintah.Hampendi Eve collection sbb ya Shamim.
Sasa kama atagombana na kila rafik wa adui yake si atagombana na Dar nzima coz hao anaowachukia wana marafiki wengi unlike yeye mwenye 0 friend.

Sasa alivyo addicted na ugomvi kaona anatamani maisha ya Zari huyoo mbio kaanzisha beef.
 
Huyo wema anayemuita mdogo wake kila siku mbona hajawahi hata kumsapoti katika kuuza hizo bidhaa zake?
Hata akinunua nywele kutoka kwake (eg afro kinky) hasemi kama kanunua kwa mange.
Nakuunga mkono mleta mada 100%.Mange kazidi wivu na roho mbaya.Hampendi dada wa watu Zarinah ambaye hata hamjui kisa anatoka na diamond aliyekua bwana wa 'mdogo wake' wema.
Aseme tuu ukweli kua anamuonea wivu mdada wa watu mzuri aache kujifananisha naye eti bibi mwenzie!
Zarinah na Mange ni ardi na mbingu!

Hivi kuna siku Wema alimrusha Mange Insta?
Hahaa maana mi naona yuko close na kina Shamim,Eve,Kiki na kina directorjoan ndo anasemaga dada zake.Yaani Mange anataka watu waone yeye ni dada ya Wema zaid hata ya kina Tunu.Kila siku mdogo wangu mdogo wangu.Halafu ni mnafki sana huyu Mange hampend Wema wala nin coz kwenye ile video ya diamonds r forever watu walivokua wakimcheka Wema na yeye alikua anamcheka pia.Tena mm siku ile nilikua ukumbin niliona live Mange hana uchungu na Wema wala nini.
 
Wala sijawahi kuona mwaya.
Ujue nilikua najiuliza kwa nini wema hajishughulishi na Mange kama yeye anavyojishughulisha sasa umenifumbua macho.
Basi inaonekana Wema aliambiwa alivyokua anamcheka ndio maana anampotezea.
Mange na wivu ule hawezi kumpenda Wema,itakua anamtumia kwa hizo biashara zake tu.
 
Mange hana tofauti na Le mutuz...wanapenda kudandia matukio hatari....

Huko uzeeni watakuwa wachawi hawa...

Hahaa kweli aisee ila bora le mtindiz yeye ukiwa na mafanikio ndo kwanza atakupenda na kukusifia.Ilo huyo mwenzio ukimzid lazima akuandikie jarida.
 
Yaani sijui kwanini hataki kuacha mambo ya africa wakati yeye Yuko marekani.kilasiku anagombana na watu wa tanz,Uganda,Kenya....mi nilijua anaishi tandale.mbona watu wako busy sana marekani yeye Hana Kazi?mi naona Kama kachanganyikiwa.hata hamjitambui.

Wala sijawahi kuona mwaya.
Ujue nilikua najiuliza kwa nini wema hajishughulishi na Mange kama yeye anavyojishughulisha sasa umenifumbua macho.
Basi inaonekana Wema aliambiwa alivyokua anamcheka ndio maana anampotezea.
Mange na wivu ule hawezi kumpenda Wema,itakua anamtumia kwa hizo biashara zake tu.
 
Mimi pia nilishangaa mwenzangu!Halafu anawakataza wenzie wasivae kama changu kwenye first date ilhali ile picha yake aliyoiweka ni majanga matupu!

Ile picha mwanangu iko full kichangu angekua mwanaume wa kiafrika ingekua one night stand then ndukii.
 
Mange anaroho ya chuki,wivu na umaskini ulopindukia.sidhani Kama anainteract na watu huko USA.au ndo wale anonymous wake ndo rafik zake.yaani a nakaribia ukichaaa.wenzie wanapiga pesa ye amekalia majungu tu. Sijui akimalizana na zari atagombana na nani tena.

Fact.
Halafu hampendi Zari sbb ya Sintah.Hampendi Eve collection sbb ya Shamim.
Sasa kama atagombana na kila rafik wa adui yake si atagombana na Dar nzima coz hao anaowachukia wana marafiki wengi unlike yeye mwenye 0 friend.

Sasa alivyo addicted na ugomvi kaona anatamani maisha ya Zari huyoo mbio kaanzisha beef.
 
Mange anaroho ya chuki,wivu na umaskini ulopindukia.sidhani Kama anainteract na watu huko USA.au ndo wale anonymous wake ndo rafik zake.yaani a nakaribia ukichaaa.wenzie wanapiga pesa ye amekalia majungu tu. Sijui akimalizana na zari atagombana na nani tena.

Huyo Zari anayehangaika naye ndio kwanza yuko busy na projects zake!.lol
 
Mange ndo nani?

Mange ni mdada aliyepigwa zongo la kugombana na kila mtu.
Nasukia alimtukanaga bibi fulani,huyo bibi akamwambia utagombana na kila mtu na watu wakugombana nao wakiisha utagombana na mijusi na mende.Cheki hawa watu alogombana nao then uniambie kama huyu hajalogwa kugombana na watu.

1.Teddy Kalonga.
2.Adelina Mushi.
3.Devota Diva
4.Cynhtia Masasi.
5.Richard Mziray
6.Mike mziray.
7.Shigongo.
8.Chaga barbie
9.Advocate Magai
10.Diamond
11.Linda
12.Shamim
13Kiki Zimba
14.Sintah
15.Jestina George.
16.Mke wa mzungu wa SA
17.John Mashaka.
18.Max Melo
19.Mmarekani muuza mawigi.
20.Mdada wa mbongo aliyecoment kwa mmarekani muuza mawigi.Lol
21.Eve Collection.
22.Ray Kigosi.
23.Mbuta nanga aka butifu Onyinye.
24.Kinje.
25.le Mutuz
26.Mdada Marehemu wa UK(anagombana hadi na waliokufa)
27.Nuru the Light(mpole sana huyu maskini ya Mungu).
28.Rachel Temu.
29.Zari.
30.Joyce Kiria
31.Maznat bridal
32.Hasheem Thabit

Wengine siwakumbuki but is this normal?
 
Uwiiiiiii!Siamini macho yangu!Mbona nimewahi kumsikia akisema kua aliwahi kugombana na mama yake mzazi?
Kisa kilikua ni nini?
 
Mange anaroho ya chuki,wivu na umaskini ulopindukia.sidhani Kama anainteract na watu huko USA.au ndo wale anonymous wake ndo rafik zake.yaani a nakaribia ukichaaa.wenzie wanapiga pesa ye amekalia majungu tu. Sijui akimalizana na zari atagombana na nani tena.

Fursa za kugombana na watu kwa Mange sio tatizo.Akimalizana na Zari anaweza akashtua kidogo kwa Shamim au Chaga au Linda huku akivuta kasi ya kumtafuta adui mpya.Sidhani kama pasaka itafika kabla hajapata adui mpya wakumuandikia gazeti.
Eti mwenyewe anasema anawa stress wabaya wake kwa yale magazeti yake ila sasa cha kushangaza picha zake zinaonesha yeye ndo full mistress yaani hana furaha kabisa.
 
Haha haaaa,eti haitofika pasaka.....
 
Uwiiiiiii!Siamini macho yangu!Mbona nimewahi kumsikia akisema kua aliwahi kugombana na mama yake mzazi?
Kisa kilikua ni nini?

Hata mm sijui kisa ila hata mm nilisikia hiyo.
Hv jamani tuwe tu wa kweli hv inawezekana watu wote hawa wakuonee wewe?
Na kama ni kweli wao ndo wamekuonea still kuna tatizo,kwanini watu wote hawa wachague kukuonea wewe?Ni laana mikosi au kulogwa?Kugombana au kuonewa kupo ila sio na idadi kubwa namna hii jamani.Hii sio kawaida.
Kama yeye ndio anaonewa basi aende akasomewe dua maana hii sio kawaida something is wrong with this lady.
 
Dua si katoka juzi tu kusomewa hapa bongo?
Mimi pia najiuliza,je ni sifa kugombana na kila mtu?haogopi?
Sometimes anajitoa tu fahamu lakini watu walitaka kumfanyizia alivyokuja ashukuru tu sakata la escrow liliwaweka watu busy...lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom