MREMA: Biashara ya kugombea Urais sina MTAJI nitamuunga mkono LOWASSA 2015!!

Hivi kosa la Mrema ni lipi?
Ritz,

Heshima yako kaka,

Huoni ajabu kwa kiongozi wa upinzani kushabikia chama tawala kwa njia isiyo ya kidemokrasia kabisa?Katika dhambi ambayo nilishawahi kuifanya nikiwa mtoto ilikua kumshabikia Mrema mwaka 1995.Watanzania naomba mnisamehe kwa hili.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu engmtolera nimekusoma, sasa ni mwendo wa kuruka tu kivyako. Nadhani kuanzia sasa hakutakuwa na mizengwe ya vyama katika kupitisha wagombea.
Hivi ikitokea mtu ana mijihela na akaitumia kuwarubuni wananchi hivyo kujipatia ufuasi mkubwa na akasimama kugombea kama mgombea binafsi huoni hatari ya wananchi kuingia mkenge?
Mwita maranya
hilo nalo ni neno,huo ni upande wa pili wa shilingi-wazungu wanasema disadvantage ya kuruka kivyako-ugombea huru
 
HAHAHAHA MA PRESDENT IS LOWASA 2015...Nape,sta na membe wakiona huu uzi watameza wembe ukmshndwa adui ungana nae jaman hamuwez kukimbza moto wa lowasa muulzen JK ni sawa na kujaza bahar kwa kijiko...Ngumu kumesa ila inabdi mmese hvyohvyo hii moran inatsha kama sokoine
 
Ben saanane
Heshima yako kaka,

Huoni ajabu kwa kiongozi wa upinzani kushabikia chama tawala kwa njia isiyo ya kidemokrasia kabisa?Katika dhambi ambayo nilishawahi kuifanya nikiwa mtoto ilikua kumshabikia Mrema mwaka 1995.Watanzania naomba mnisamehe kwa hili.

Ben saanane akshaona uzi unaomsfia lowasa huwa anachanganyikiwa mwambie ameze maamuzi ya mrema hvyohvyo ata kama ni ngumu kumesa...Lowasa ni jembe ma presdent 2015 is lowasa najua anawanyma usngz...
 
Mwenyekiti wa TLP Agustino Lyatonga Mrema amesema kwamba hana mpango wa kugombea Urais 2015 kwani hana Mtaji na kuwa atamuunga mkono Mbunge wa Monduli na Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa kwani anauhakika wa MTAJI na kuwa stashinda.

Alisema kwamba yeye (Mrema) anaona biashara hiyo ya kugombea Urais inahitaji Mtaji mkubwa na kuwa yeye hataweza!

Source: Gazeti la Habari leo.

Mzee mwehu kwelikweli..yaani.Hana mpango wa kuachia wengine ktk chama chake wagombee?Sasa hatomuunga mkono mgombea wa chama chake?
 
Lipumba ndio anayeamini Dr Slaa alishinda na ndio maana akaamua kumuokoa Kikwete kwa ''kumgawia kura'' kwa kuwa ni MUISLAM mwenzie. Wewe usiyeamini kuwa Dr Slaa alishinda ni kwa sababu ya uwezo wako mdogo wa kuelewa na umekuwa brainwashed na udini

Dah!jaman hv una ushahd gan kama Prof. Lipumba aligawa kura?
 
Ritz,

Heshima yako kaka,

Huoni ajabu kwa kiongozi wa upinzani kushabikia chama tawala kwa njia isiyo ya kidemokrasia kabisa?Katika dhambi ambayo nilishawahi kuifanya nikiwa mtoto ilikua kumshabikia Mrema mwaka 1995.Watanzania naomba mnisamehe kwa hili.

Ben Saanane,

Kwani kuwa mpinzani ni makosa kumuunga mkono mgombea wa chama tawala kwa Tanzania? Nchi nyingine mbona kawaida tu kwenye siasa mfano Kenya.
 
Last edited by a moderator:
Dah!jaman hv una ushahd gan kama Prof. Lipumba aligawa kura?

Aliongea yeye mwenyewe na U-Tube video iliwekwa hapa kila mtu alisikia. Na baadaye alikiri kuwa alialikwa msikitini katika mazungumzo na stori akaeleza namna alivyomuokoa Kikwete. Pekua kwene archives za JF uione video
 
Ben saanane akshaona uzi unaomsfia lowasa huwa anachanganyikiwa mwambie ameze maamuzi ya mrema hvyohvyo ata kama ni ngumu kumesa...Lowasa ni jembe ma presdent 2015 is lowasa najua anawanyma usngz...

Mishikaki ya Monduli ndiyo inayokupa mawenge kwa gharama ya Taifa lako.Acheni ujinga.
 
Ben Saanane,

Kwani kuwa mpinzani ni makosa kumuunga mkono mgombea wa chama tawala kwa Tanzania? Nchi nyingine mbona kawaida tu kwenye siasa mfano Kenya.

Ni lini wajumbe wa mkutano mkuu wa TLP waliamua hivyo?Kenya haijawahi kutokea mtu kuamua binafsi kuchukua maamuzi ya aina hiyo.Tunajenga demokrasia mzee!
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mzee Kweli Kachoka.Yaani kugombea Urais imeshakuwa Biashara?.Namshauri arudi Rasmi CCM aache kuwadanganya Wanachama wa TLP kwamba naye ni Mpinzani.
Mrema anaonakuwa, Lowasa atashinda,hivyo anajiandalia mazingira ya kuteuliwa katika zile nafasi kumi za Rais,kama zitakuwepo katika katiba mpya!
 
Kugombea uchaguzi 2015 kwa bwana Lowasa ni karata tosha kwa upinzani kuibuka kidedea. Acha mzee wa Kiraracha aanze kumfanyia kampeni, lakini aibu inamsubiri.Lakini jamii budi iwaogope na kuwakemea watu wanaojipotisha lep kwa mgongo wa harambee ilihali hizo ni kampeni za kisiasa.
 
hahahaha mrema bhana, kaona hawezi mziki wa urais bora a join tuu.lakini majuzi baada ya rasimu hii nilimsikia akisema atarudi ulingoni kugombea urais maana tume itakuwa huru.

Kwa sababu maamiziki yake si jinai basi naya heshimu.
 
Back
Top Bottom