BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
So funny!!
kwanza kapona?? Na huyu si kesho anaongoza maandamano ya ccm?
Mkuu! Anadai amepona anaendelea vizuri anasema, sura yake imeanza kutakata, ila bado ana zile isue zake zilipendwa na gazeti kama evidence. Anadai kapona mkuu
Mimi nataka kupata Report ya Dactari kwasababu Mrema alivyo kuwa anateseka mimi nilishuhudia na kudhani atakufa mapema sana lakini alisurvive mpaka leo hii imepatikana Dawa ya Maajabu ya Mungu.. so Mimi nataka kuwakata kilimilimi wakina Rostam Azizi wanaoamini Mibuyu na si mungu

Kwani vipi, Rostam Azizi kaipinga tiba ya Babu?