Mrema atua Loliondo kuimarisha afya yake

kwanza kapona?? Na huyu si kesho anaongoza maandamano ya ccm?

Mkuu! Anadai amepona anaendelea vizuri anasema, sura yake imeanza kutakata, ila bado ana zile isue zake zilipendwa na gazeti kama evidence. Anadai kapona mkuu
 
Mkuu! Anadai amepona anaendelea vizuri anasema, sura yake imeanza kutakata, ila bado ana zile isue zake zilipendwa na gazeti kama evidence. Anadai kapona mkuu

hatutaki maneno yake tu, tunataka tuone sura yake ikiwa imetakata.
 
Anasema alipofika kwenye semina ya wabunge wabunge wakamletea soda tano anywe athibitishe kwamba amepona akawambia msimbip mungu.
 
Anasema atalipoti kwa dkt wapi ambaye atakuwa na jukumu la kumpia kisha kuwatangazia watz kuwa Mrema amepona, na siyo yeye kutangaza kuwa amepona
 
Wakuu! kadai Doctor wake atatoa tamko kwa umma, pia sura yake itajionyesha wazi.
 
Kanifurahisha pale aliposema viongozi wengine wanakwenda kwa siri lakn yeye hajajificha
 
Nadhani TBCcm nao wamefikia ukomo wa kuwa chombo mahiri cha habari! Kweli succession plan za waswahili ni poor. Akitoka mwanzilishi basi, end of the road.
 
Mrema ni moja ya watu ambao wameteseka sana na Ugonjwa wa Kisukari.. kutokana na Mateso makali ambayo alikuwa anayapata taarifa ya Tiba ya Ajabu inayotibu magonjwa sugu kwake ilikuwa ni neema kubwa sana, kwani yeye ia alikuwa Mmoja wa watu ambao walipanga Foleni na kuvumilia jua kali na njaa pia mpaka alipo pata fursa ya kunywa kikombe kimoja cha dozi ya Ajabu.
Mrema anasema alikunywa Jumamosi ya tarehe 12 March na kusema toka alipo kunjwa Dawa hiyo anajisikia mwepeso na mtu mpya kabisa, kwa hiyo anataka kwenda kwa Daktari ili apate vipimo ili aweze kuthibitisha.

Je mrema atapona au vipi?
 
Mimi nataka kupata Report ya Dactari kwasababu Mrema alivyo kuwa anateseka mimi nilishuhudia na kudhani atakufa mapema sana lakini alisurvive mpaka leo hii imepatikana Dawa ya Maajabu ya Mungu.. so Mimi nataka kuwakata kilimilimi wakina Rostam Azizi wanaoamini Mibuyu na si mungu
 
Kwa kweli asemayo Mh. mrema ni kweli, kwani dawam ya babu inamaliza kabisa sukari. Na muda si mwingi atakua softiiii hadi msio amini mtaamini tu.
 
Mimi nataka kupata Report ya Dactari kwasababu Mrema alivyo kuwa anateseka mimi nilishuhudia na kudhani atakufa mapema sana lakini alisurvive mpaka leo hii imepatikana Dawa ya Maajabu ya Mungu.. so Mimi nataka kuwakata kilimilimi wakina Rostam Azizi wanaoamini Mibuyu na si mungu

Kwani vipi, Rostam Azizi kaipinga tiba ya Babu?
 
Mimi nataka kupata Report ya Dactari kwasababu Mrema alivyo kuwa anateseka mimi nilishuhudia na kudhani atakufa mapema sana lakini alisurvive mpaka leo hii imepatikana Dawa ya Maajabu ya Mungu.. so Mimi nataka kuwakata kilimilimi wakina Rostam Azizi wanaoamini Mibuyu na si mungu

Kafanya nini tena!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom