Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Hawa viumbe wanawake wapo wengi sana sana motoni.
Kuna % nyingi sana cheating za wanaume zinasababishwa na hawa viumbe
Wanatia majaribuni sana wanaume kwa style ya mavazi wanayovaa siku hizi.
Kwa mwanaume aliekamilika ni ngumu sana kuyashinda haya majaribu yao.

heee
 
Aise Kusema ukweli Me nakuombea ulichomfanyia mumeo kitokee kwako....hv uyo jamaa ulokua nae saiv akikuzngua iyo sura yko utaiweka wapiii?
 
Sent ana amani lkn je ex mumewe, tena na mtoto hapo pabaya sana alinogewa na tamu ya penzi la mwanaume wake wa kwanza akajisahau akapata mimba akiwa kwa mumewe na ex mumewe akahudumia akijua ni yake Leo unamwambia mtoto si wako kiubinaadamu ni maumivu ni machungu ni huzuni ni hali ya karibu na kifo, inaumiza inauma inahuzunisha, Mungu akawasimamie wote hao wanne
Mapenzi haya yaache tu upepo unaweza kubadilika mpaka ukatamani dunia ipasuke utumbukie ndani huo mwezi 4 unajua ni mbali sana hapa tunahesabu 6 month, mimi kuna dada nilisoma naye tukiwa kidato 2 mwenzetu wakammimba kibaya zaidi huyo kaka kaikataa mimba, mwenye bahat habahatiki dada kapata mchumba baada ya kujifungua mwanaume kasema mtoto si kitu nakupenda hivyo hivyo, kila kitu kikaenda sawa posa ikabaki tu wapange tareh ya ndoa lini ifanyike, yule mwenye mtoto alipopata taarifa akaja kumnyenga nyenga kuwa asiolewe na huyo mchumba atamuoa yeye ili wakalee mtoto wao mdada akakubali siku kaja mchumba akamtolea nje tuanenda kutunza mtoto wetu, basi mkaka kasusa mpaka posa alizotoa, kilichofuata baba wa mtoto hakurudi tena mpaka kesho
 
Asante kwa marejesho. Naukumbuka ule uzi wako and this is what I thought would happen. It was just a matter of time. Wachangiaji karibu wote walikunaga sana kwenye ule uzi. Marejesho yako yanaonyesha kuwa you have boldly re-claimed your sovereignty from others’ opinions.

Hata kwenye uzi huu watakunaga sana. It is not easy to live freely from other's opinions. Ndiyo maana unakuta watu wengi wanaogopa kufanya maamuzi magumu maishani mwao na kuishia kukimbilia kwenye dini and some dogmatic politics and traditions as protective factors.

Kwa dunia ya sasa, you gotta let the people in your life who not only reflect what you value, but also those who raise you up to fully express your unique self. Kwa kufanya hivyo, wapo ambao utawaumiza, wengine watasema it is not fair to your ex-husband, but there is no fairness in this world anyway na hasa kwenye mapenzi. Na vipi kama mtoto angepewa nafasi ya ku-express his/her feelings and wishes?

Opinions, as the saying goes, are like assholes. Everybody has one. But you do not have to accept the opinions of anyone who limits you. You have been honest with yourself and that is the most important thing.

Now, you have to bodily clean up your past. You have done wrong to your ex-husband. Ni muhimu kumwomba msamaha. He deserves one. Because there is no pride in holding back a deserved apology. If he doesn’t accept your apology, well then, at least you tried and you’re clean. Life goes on.

Wishing you all the best.

espy angalia mwanaume huyu !jaman kuna watu wana bariki ukisoma comments zao !dah!mmebaki wachache sanaaaaaaaaaa
 
Mungu akusaidie mwezi April huyo jamaa yako akukatae mchana kweupe .

Unaamni anakupenda au upumbavu.

Nini kilifanya mkashindwa kuoana mwanzo hadi ukaolewa na mwanaume mwingne ?

Mungu akupige laana hata kansa ya damu ufe kabla ya mwakani.

my ribs
 
Mapenzi haya yaache tu upepo unaweza kubadilika mpaka ukatamani dunia ipasuke utumbukie ndani huo mwezi 4 unajua ni mbali sana hapa tunahesabu 6 month, mimi kuna dada nilisoma naye tukiwa kidato 2 mwenzetu wakammimba kibaya zaidi huyo kaka kaikataa mimba, mwenye bahat habahatiki dada kapata mchumba baada ya kujifungua mwanaume kasema mtoto si kitu nakupenda hivyo hivyo, kila kitu kikaenda sawa posa ikabaki tu wapange tareh ya ndoa lini ifanyike, yule mwenye mtoto alipopata taarifa akaja kumnyenga nyenga kuwa asiolewe na huyo mchumba atamuoa yeye ili wakalee mtoto wao mdada akakubali siku kaja mchumba akamtolea nje tuanenda kutunza mtoto wetu, basi mkaka kasusa mpaka posa alizotoa, kilichofuata baba wa mtoto hakurudi tena mpaka kesho
Nimemwambia sent kule mwanzoni kuwa mwezi wa NNE sio karibu Mungu amtangulie, coz najiuliza kwa nini huyu anaempenda waliachana mwanzo ni??? Huyo mdada wa hiyo stori yako hakuchizi kweli?
 
Sent ana amani lkn je ex mumewe, tena na mtoto hapo pabaya sana alinogewa na tamu ya penzi la mwanaume wake wa kwanza akajisahau akapata mimba akiwa kwa mumewe na ex mumewe akahudumia akijua ni yake Leo unamwambia mtoto si wako kiubinaadamu ni maumivu ni machungu ni huzuni ni hali ya karibu na kifo, inaumiza inauma inahuzunisha, Mungu akawasimamie wote hao wanne
Kadri navyozeeka nimezidi kujifunza kusamehe in advance (hata kabla mtu hajaniomba msamaha). Kuna watu anakuumiza, ila na yeye anaumia anajuta ingawa hana la kufanya na hata ukimwambia nimekusamehe, bado kuna muda kwenye maisha yake ataumizwa kwa alichokufanyia ie haishi kujihukumu. Na kuna mtu anakuumiza ila hana habari kabisa, ana amani moyoni mwake na hakumbuki chochote, ukimsamehe haya usipomsamehe sawa tu pia, wewe haribu maisha yako kisa kakuumiza mwenzio hana hata habari. So no matter what, naombaga Mungu anipe uwezo wa kusamehe, sio kila mtu atajinyima furaha ya maisha yake ili kukupa wewe furaha, samehe tu kwa ajili ya amani ya moyo wako. Huyo baba Mungu amtie tu nguvu, I hope ana watu karibu yake watakaomsaidia kukubaliana na hali kwa haraka, sio kitu rahisi kama tunavyokisoma. Ndio wengine wanaishiaga kuumiza na wengine pia kucompensate maumivu waliyonayo au ndo wale anakwambia simuamini mwanamke wala sitopenda tena .
 
Mapenzi haya yaache tu upepo unaweza kubadilika mpaka ukatamani dunia ipasuke utumbukie ndani huo mwezi 4 unajua ni mbali sana hapa tunahesabu 6 month, mimi kuna dada nilisoma naye tukiwa kidato 2 mwenzetu wakammimba kibaya zaidi huyo kaka kaikataa mimba, mwenye bahat habahatiki dada kapata mchumba baada ya kujifungua mwanaume kasema mtoto si kitu nakupenda hivyo hivyo, kila kitu kikaenda sawa posa ikabaki tu wapange tareh ya ndoa lini ifanyike, yule mwenye mtoto alipopata taarifa akaja kumnyenga nyenga kuwa asiolewe na huyo mchumba atamuoa yeye ili wakalee mtoto wao mdada akakubali siku kaja mchumba akamtolea nje tuanenda kutunza mtoto wetu, basi mkaka kasusa mpaka posa alizotoa, kilichofuata baba wa mtoto hakurudi tena mpaka kesho
Daaaah!!! Interesting and touching story... Huyo dada mpuuzi sana, kwa maoni ya harakaharaka!
 
Back
Top Bottom