MREJESHO: Mpenzi wangu kajifungua salama

MFALME WETU

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
2,582
6,167
kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏

Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua kukaa nae kwangu ingawa kwa kuchelewa ila nashukuru sana hamna kilichoaribika.

Pwisho kabisa nitoe rai kwa wadada wa kaskazini kupunguza matumizi ya vilevi kama pombe na bangi, ni kweli mmebarikiwa uzuri ila matumizi ya ivo vitu yanawadiscredit sana.

Pia unaweza kusoma.

Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi.
 
kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza

Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua kukaa nae kwangu ingawa kwa kuchelewa ila nashukuru sana hamna kilichoaribika.

Pwisho kabisa nitoe rai kwa wadada wa kaskazini kupunguza matumizi ya vilevi kama pombe na bangi, ni kweli mmebarikiwa uzuri ila matumizi ya ivo vitu yanawadiscredit sana.

Pia unaweza kusoma.

Mpenzi wangu ni mjamzito ila kagoma kuacha kuvuta bangi.
Kumbe haikuwa attentions bhna ni really
 
Back
Top Bottom