Mpya ya madaktari.

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Ni ushauri tu wa kuongeza madai yao yaani baada ya magari
pia serikali iwapatie ndugu zetu hawa SILAHA ili waweze
kujilinda kutokana na unyeti wa sehemu waliyopo na umuhimu
wao, pia kama inawezekana madaktari bingwa wawekewe ulinzi
kabisa.(Nasisitiza - wapatiwe na serikali sambamba na mafunzo ya
namna ya kujihami na kuzitumia)
silaha.jpg
 
madoctor wote wawe mawaziri wasio na wizara maalumu,kila mtu awaheshimu na kuwaogopa,hata wakikupasua jicho badala ya tumbo,wape asante,unajua wanapata tabu sana kushika damu za watu,na kazi yao ni ngumu saaaana kuliko kazi yeyote ile!
hehehe
 
1:kuna idadi kubwa ya madoctor wa kutegemewa na wenye elimu ya kati wanamiliki zahanati(nyengine za nguvu)au maabara zao binafsi,na asilimia kubwa ya vyombo vinavyotumika humo sawa dawa zinazotolewa au vyombo vya kupimia na kuainishwa gonjwa,ni mali ya hospitali za serikali,zimefikaje humo,wakati kama wanavyodai kuna upungufu mkubwa wa dawa na vyombo mbali mbali(majina mengi sana yameorodheshwa mikoa na wilaya na ....)mbali mbali!
2:madoctor hao hao unapokwenda hospitali za serikali hukwambia ili kuepuka foleni na kupata dawa za bei poa,nakuandikia vipimo nenda kwenye zahanati yangu upate huduma nafuu na ya fasta!!tupo pamoja hapo??!!
3:madoctor wengi sana ni walevi na wazinzi wa kupindukia hata wakiwa kazini,na asilimia si mbaya ya madoctor hao ni waathirika wa h.i.v
4:kuna idadi si ya kupuuzia ya madoctor wanaotumia madawa ya kulevya,na kuna wengine yameshawaathiri vibaya,hapo tunategemea nini??!!(data wahusika wanazo)
5:madoctor wengi wananyumba za malaya wao za kutunza tu si chini ya tatu mpaka tano,wakati mjarisiamali mwenye kipato cha kati kutunza familia moja tu ni kazi!!!,hapa naona wanahaki ya kugoma!
6:ni lazima madoctor wawe na jeuri kwa masikini wa hali ya chini kwani wenye fedha wakiwahonga hata usiku wa saa nane hukurupuka,na kusikiliza nini kimejiri,kwa kuwa wamezoeshwa hulka hii,asiekuwa na hela,kutibiwa hospitali za serikali ni ndoto,au atapasuliwa kwa makusudi kichwa badala ya goti.
kuna mengi sana ya kuongeza hapo,tatizo mda!
nimewasilisha hoja wana jf!!
 
Hivi hili jimbo wananchi wake wanahesabu wanamwakilishi wao bungeni kweli! Basi ni hasara kama mimba ya utotoni!
 
Hili wazo ni HEKO!

Wasomi wetu haitapendeza wapotezewe maisha kirahisi kihivyo na bora wajihami haswaaaaa!!
 
1:kuna idadi kubwa ya madoctor wa kutegemewa na wenye elimu ya kati wanamiliki zahanati(nyengine za nguvu)au maabara zao binafsi,na asilimia kubwa ya vyombo vinavyotumika humo sawa dawa zinazotolewa au vyombo vya kupimia na kuainishwa gonjwa,ni mali ya hospitali za serikali,zimefikaje humo,wakati kama wanavyodai kuna upungufu mkubwa wa dawa na vyombo mbali mbali(majina mengi sana yameorodheshwa mikoa na wilaya na ....)mbali mbali!
2:madoctor hao hao unapokwenda hospitali za serikali hukwambia ili kuepuka foleni na kupata dawa za bei poa,nakuandikia vipimo nenda kwenye zahanati yangu upate huduma nafuu na ya fasta!!tupo pamoja hapo??!!
3:madoctor wengi sana ni walevi na wazinzi wa kupindukia hata wakiwa kazini,na asilimia si mbaya ya madoctor hao ni waathirika wa h.i.v
4:kuna idadi si ya kupuuzia ya madoctor wanaotumia madawa ya kulevya,na kuna wengine yameshawaathiri vibaya,hapo tunategemea nini??!!(data wahusika wanazo)
5:madoctor wengi wananyumba za malaya wao za kutunza tu si chini ya tatu mpaka tano,wakati mjarisiamali mwenye kipato cha kati kutunza familia moja tu ni kazi!!!,hapa naona wanahaki ya kugoma!
6:ni lazima madoctor wawe na jeuri kwa masikini wa hali ya chini kwani wenye fedha wakiwahonga hata usiku wa saa nane hukurupuka,na kusikiliza nini kimejiri,kwa kuwa wamezoeshwa hulka hii,asiekuwa na hela,kutibiwa hospitali za serikali ni ndoto,au atapasuliwa kwa makusudi kichwa badala ya goti.
kuna mengi sana ya kuongeza hapo,tatizo mda!
nimewasilisha hoja wana jf!!
Great, ingawa hujamaliza. Ninachokiona wote wana makosa
asiye na makosa ni mmoja tu. Serikali inakosea pia madaktari
wanakosea nilitegemea swali lingekuja hivi iwapo madaktari
watajilinda Je! na hawa wananchi wanaokufa kutokana na
mgogoro wa serikali na madaktari wajilinde vipi? au ndio ile kauli
ya WAPIGANAPO TEMBO WAWILI? au LITAKALOKUWA NA LIWE
iliwakusudia wananchi na si madaktari?
 
Well-said!
 
Back
Top Bottom