mbona hizo search engine ziko nyingi, kama google alianza kama search engine lakini sasa anaoffer email service, web browsing using google chrome, kuna google earth ets so haitakua kitu kipya kwa ms kuja na hiyo search engine by the way hotmail was bought by microsoft na wana search engine within the live branding which is part of ms
From mbona kuna search engines nyingi to. ila google ndio wamebobea sana. Google wana services nyingine sana kama gmail,
search engine,
1 blog search,
2 blogger,
3 adsense( kama advertisement brokers)
4 Adwords,
5 Picassa (web album) unapewa 1 GB,
6 page creator (kutengeneza website)
7 iGoogle (kutumia simu)
8 Reader ( kusoma feeds zako kama za hapa JF)
9 web optimizer
10 website and blog counter ( kujua visitos wako kwa site)
11 Google map
12 Earthgoogle (ni tofauti na google map, maps are static earth google is dynamic & 3D)
13Talk
14 Web histiry
15 calendar
16 Webmaster tools
17 Directory
18 Chrome (ni browser kama internet explorer and firefox)
19 Images
20 News
21 Translate
22 Alerts
23 Code
Nimechoka vidole ila and many more others
Jamani kuna uwezekano na sisi kuja na search engine yetu ambayo ita organise all the unindexed records kwenye taasisi zetu nchini ?
Google mpk leo hajapata mpinzani labda vijana wetu wa TZ wajipinde watengeneze yenye mazingira ya nnchiniHiyo Wolfram|Alpha iko bomba sana sana nafikiri ndiyo italeta upinzania kwa google and other search engines. Nimeicheki iko fit sana
china hawatumii sana google, hata urusi. ulimwengu wa kingereza ndio unatumia sana google.Google mpk leo hajapata mpinzani labda vijana wetu wa TZ wajipinde watengeneze yenye mazingira ya nnchini