Mpinga ufisadi ndani ya CCM ashinda nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa mpya wa Geita

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Diwani wa kata ya Nzera(ccm) bwana MSUKUMA ameshinda nafasi ya uenyekiti wa ccm katika mkoa mya wa Geita

Ikumbukwe bwana MSUKUMA aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita baada ya uchaguzi mkuu

2010,lakini alienguliwa kwa mizengwe na madiwani wa chama chake ambao ni wengi kwa kumpigia kura ya kutokuwa na

imani naye, mara tu alipoanza kufuatilia tuhuduma za ufisadi ndani ya miradi mbalimbali iliyokuwa chini ya halmashauri,
hali iliyo zua mtafaruku mkubwa ndani ya chama chake.

Amewashinda mwenyekiti wa zamani wa halmashauri ya wilaya ya Geita na diwani wa kata ya Kamena ndugu Ikangala na kada wa siku nyingi wa ccm ndugu Luhemeja.
 
Tafadhari sana, tupe habari kamili, kwa mfano

1/Alikuwa anaungwa mkono na kambi ipi ya urais CCM?

2/Mfumo au mtindo wake wa kutoa rushwa ulikuwa ni upi (eg. Rejareja, Jumlajumla, Kimtandao, Chai na vitumbua, Pombe, Wanawake, bahasha, mkono kwa mkono, Simu-pesa)

3/Kura zikoje?
4/Matukio ya fujo?
 
Usidanganyike,hakuna mpinga ufisadi ndani ya mafisadi,hao ndiyo walewale,tofauti ni kiwango cha wizi tu.
 
huyo kapotea njia tusubiri muda tu ccm hakuna mpinga ufisadi si mlimuona shulikundo na yule mzee wa simanjiro na mama kilango wako wapi?
 
Tafadhari sana, tupe habari kamili, kwa mfano

1/Alikuwa anaungwa mkono na kambi ipi ya urais CCM?

2/Mfumo au mtindo wake wa kutoa rushwa ulikuwa ni upi (eg. Rejareja, Jumlajumla, Kimtandao, Chai na vitumbua, Pombe, Wanawake, bahasha, mkono kwa mkono, Simu-pesa)

3/Kura zikoje?
4/Matukio ya fujo?

Ngoja Ritz aje adadavue,mimi nilikuwa napita tu
 
Yeye anachagua wanawake anawapa kadi chumbani.Akimaliza anaita Waandishi wa Habari.

Back
Top Bottom