Mpigie kura Teddy Kalonga Spike TV

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Anawania kuwa mtangazaji wa SPIKE TV huko majuu.
i653_lol.jpg


oooooh yeah
i654_gggg.jpg


Picha nyingine za kuvutia ziko http://www.spike.com/photos/teddy-kalonga/33482/st/69309?slideshow=true&autoplay=true

Mpigieni kura http://www.spike.com/spike-girl/500960
 
Yaani wewe yoyo vitu vizuri vyote uko connected. By the way, how is Lisa!!!

Ngoja nimpe kura yangu mkuu
 
Mpwa hivi Ngabu kamwona kweli huyu?
Dah mtoto yupo moto moto lakini naona kitu kama kimefichama vile.
 
Sina mda huo mkuu, mii nilikuwa napita tu kwa bahati mbaya nikajikuta nime stuck hapa ghafla.Mkuu umeniharibia siku yangu leo.
 
By the way Yo Yo ni Mtz huyo niliyempigia kura. And what is she up to? Sory coz i just voted because she is so hot and forget to ask about the deal.
 
Sina mda huo mkuu, mii nilikuwa napita tu kwa bahati mbaya nikajikuta nime stuck hapa ghafla.Mkuu umeniharibia siku yangu leo.
bwa ha ha ha angalia mkuu usije shuka mnazi asubuhi hii.....
 
Huyu mdada hata tumpigie kura vipi hawezi fika popote,maana kuna vifaa kule vikali zaidi yake......na kulaumu sana Yo Yo umeniharibia ustaarabu wa siku yangu leo. Na kukemea kwa jina lako na usindwe kabisa kuharibu siku za watu.........Amen
 
Hapa anajitangazia biashara au vipi wajameni??? Nidhamu yetu ya kiafrika inatokomea!!! Half naked!!! Hivi wazazi wake wako hai?? Wanafurahia hizi pics and many more alizozianika katika face book!!! Anyway, ambao hamjaoa kazi ni kwenu kumpata a descent mother four your kids. Ni hatari sana kwa watoto wetu ambao hawajaoa na wanaokua!!! Anyway, I am old fashioned!!!! Talking of years 1947!!! Soorrry.
 
mh!jamani nina haki ya kuhema kwani hawa watoto wa siku hizi wanatufanya hata hizi funga zetu zinazotaka kuanza zisikubaliwe,anyway mtoto amaumbika na she's so sex!big up kwa anakokota mzigo anajua kutunza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom