Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mphamvu Badili Avatar

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, Feb 10, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,695
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana Ndugu,
  Tunaomba Mphamvu atueleze Lengo lake la kuweka avatar ya majeruhi wa ajali aliye jaa majeraha Kichwani.
  Wengine tuna moyo dhaifu sana. kama hata ikiwezekana tunaomba MODS musaidie.

  Asente kwa msaada
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 25,988
  Likes Received: 3,247
  Trophy Points: 280
  Watu na mambo yao. Tupo tunaokula nyama za watu, hiyo avatar tunaiona poa tu!!!!!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,156
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 145
  mmmh, kunani tena?
  Ngoja niende intanet kefu
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,358
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Hiyo kefu wanapika vitumbua vyao vizuri ?
  Kama sio hamia kefu yangu mie uje ukutane na "mijitumbua" tumbua moja tu ! Hurudii kingine ! Au hulagi "vitumbua" ?
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,394
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Kumbe kulikuwa na hoja inayonihusu?
  Nilikuwa sijafahamu mwenzenu, kama kuna damages zozote nimesababisha msisite kunijulisha tuangalie namna ya kuzi-cover.
  Sawasawa?
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,862
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Hii yangu je?
  MP.
   
Loading...