Mpenzi wangu hataki kunipa tunda,nifanyeje jamani?

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
wana JF, nina rafaiki yangu ambaye bado hatukufikia hatua ya uchumba,kwa mara ya kwanza baada ya kunikubalia ombi langu,alinisumbua sana kunipa tunda,mpaka tukatana kuachana ndio akakubali kunipa,na baada ya kunipa alisema alikuwa anaogopa kwa sababu hakuwahi kumegwa, na sasa nimeshammega mara kadhaa, lakini hivi juzi tu nimemkumbushia kuhusu kula tunda ameniambia tusiwe tunafanya hivyo tena tusubiri mpaka tufunge ndoa,mana anasema tunafanya dhambi, nami nilikubali lakini kwa sasa naona kukosa kitu muhimu kwani nammiss sana kiasi cha kushindwa kuvumilia,
sasa tatizo linakuja suala la ndoa bado litachukua muda kama mwaka na zaidi hivi,ina mana muda wote huo nisile tunda langu? nafikiria kumsaliti sasa kwani siwezi kukaa muda wote huo,nifanyeje jamani?
 
kumsaliti sio uamuzi wa busara kwani inakupasa kuwa mwaminifu katika mahusiano yenu,kunambi kama kweli unampenda na untaka awe mwenza wako wa maishani inakupasa kuwa karibu nae sana na kwake yeye anafikiri kuwa hauko mkweli katika mahusiano yenu ndio maana anataka kuacha kukupa tunda.niwazi kuwa mwanaume hupenda sana mwanamke pale tu akiwa hajajamiana na mapenzi hupungua wakisha jamiana hii ni kwa wali ambao sio wanandoa, hivyo uwamuzi wake yeye niwakujilinda ili aweze kudumu katika mapenzi. mimi ninge kushauli kama unampango wa kumuoa hapo unaweza kumubembeleza hadi atakjubari kwani shughuri kubwa ilikuwa mwanzo mulipo kuwa hamjatambuana na sasa wasema umekwisha mmega marakazaa so just muombe na ukimjurisha kuwa yeye ndio mkeo kwa hapo badae ila nakuomba kama hauko tayari kwa kumuoa nivizuri kumuacha mapema sio kummega kisela na kumuacha pia kumbuka kila mtu anahaki ya kuishi apendavyo,mpe uhuru wa kutafuta mwingine sasa na unatakiwa kujua msichana huwa sokoni i mean huwa katika hali ya kupendeza kwenye umri flani hivyo akipitiriza kwasababu yako kumpotezea mda na kumlaghai inakuwa sio poa na nidhambi hata kwa Mungu,wengi humegana kabla ya kuoana na mwisho hutimiza malengo yao hii ni kwa kuepushiana na tamaa mbaya ambayo inaweza kuleta magonjwa na hata kuaribu uhusiano wenu hivyo kuwa makini sana.
 
wewe kama unampenda oa tu uendelee kufaidi tunda. Kinachokuzuia kuoa nini? Na kama unataka kumega bila kumpenda au bila kuoa, mbona wako wengi tu wako tayari kumegwa hivyo kama starehe tu. Wewe shida yako kama ni kumega tu, using'ang'anie huyo mwenzio anayetaka kuolewa.
 
Mpenzi wangu hataki kunipa tunda,nifanyeje jamani?

lia machozi atakuonea huruma.
 
Jaribu tiGo atakuwa anakupima huyo!

MASANILO:Heshima yako uliojijengea ktk jamii inapotea hivyo hivyo.

Great thinkers:masanilo anashauri watu wale tigo kweli ni wazo zuri??/

@MTOA MADA:Wanawake usimpomkamua vizuri lazima akimbie....

Inaelekea ukuweka manjonjo e kwenda chumvini,na vionjo vingine eg dog style aka kichuma mchicha au wewe likuwa unampa KIFO CHA MENDE TUUU kwani navojua coz labda utamwoa then usimkunje sana manake atakuona mhuni bure.

Mwambie safari hii akikupa ni ya mwisho,na mgusie gusie manjonjo ya mahaba kidoo kwa mbaaali.

usimwambie twende ukanipe tunda direct kiivo.....

we mwambie aje mahome then chumbani mnaongea kidogo kimtindo kisha yeye mwanyewe atakwambia come come baby......

then mpe kipigo cha kufa mwizi,kama unajua katerero fanya pia atakuwa anakuja kila siku.
 
kuna 2 hapo, either amekuona unampango wa kumega forever bila kuonyesha msimamo wowote wa marriage, kwa iyo kaamua kuweka ngumu ili uoe kwanza ndo umege kihaki,, au unasaidiwa kumega ndo mana hajisikii kabisa kumegwa na wewe!! mwenzako kamdatisha!!! Poleeee!!!
 
MASANILO:Heshima yako uliojijengea ktk jamii inapotea hivyo hivyo.Great thinkers:masanilo anashauri watu wale tigo kweli ni wazo zuri??

Mkuu kuna mada kibao wadau hapa JF wakifagilia tiGo! na mwisho wa mijadala yote ilionekana tiGo inaleta heshima kwenye ndoa. Kuna wale wajuvi wa hesabu za takwimu (statistics) walikuja na p value ya 0.0001 significant levels umuhimu wa tiGo kwenye ndoa. Shauri yako kama hujaanza
 
hehehe! Mpwa umekula senksi. Kama bado tutamsaidia tuone kama hatakuja kuomba ushauri hapa!
 
Mkuu kuna mada kibao wadau hapa JF wakifagilia tiGo! na mwisho wa mijadala yote ilionekana tiGo inaleta heshima kwenye ndoa. Kuna wale wajuvi wa hesabu za takwimu (statistics) walikuja na p value ya 0.0001 significant levels umuhimu wa tiGo kwenye ndoa. Shauri yako kama hujaanza

mkuu,hapo wewe jitoe kuhusu TIGO ....vipi kuhusu confidence interval na standard deviation,,,,then nenda kwenye standard normal curve...utapata jibu kuwa TIGO sio issue.

wewe mzee wa data na tungo tata sasa ukijimix kwenye tifo unakosea kaka.

Vip dadako akiliwa TIGO.....na ukajua ......

hahahha,teehtethete INAUMA
 
Statistical package iliyotumiwa ilihusisha yote hayo na sample size ilikuwa kubwa sana!

Dada akiliwa tiGo kwa makubaliano yao mimi kwangu shega na hainihusu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom