Mpenzi wangu ananiomba Nimnyoe nywele za.......

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.
 
Ukijinyoa mwenyewe unaweza kujikata,sembuse mtu mwingine??????????
 
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.

wewe jinsia gani ni she or he?
 
Nywele, nywele, nywele....!! Nywele gani hizo? Embu fafanua kwanza kabla hatujabaka maelezo!
 
halafu mkiambiwa hamko romantic mnatukana mbona kitu cha kawaida tuu tena mara nyingi huishia kwenye game tamu ajabu
 
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.

Ni wakati mgumu kweli si umnyoe na wewe kesho mwombe na yeye akufanzie vile apendavyo wewe umfanzie .....................ukiona yu kimya au naye apiga mkwara basi ujue hiyo kazi mbaya achana nayo...............wala sihitaji kujua nywele za wapi.......nywele ni nywele tu hata kama ni zalio la chawa..............................lol.....................DO UNTO OTHERS WHAT YOU WOULD LIKE THEM TO DO UNTO YOU............
 
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.
Mkubwa upo dunia ipi ya mpz? wenzako tunazisubiria na tunaweka na tar. za kuziondoa we unatoka nduki!!!??? ukikimbiwa usilaumu.
 
kabisaaaaa mamito! kwanini asimfanyie mtu kitu roho inapenda bana! au bado ni mtoto huyo! ngoja apate wa kumsaidia hiyo kazi
Mmhhhlabda hajazoea hayo mamboNdio maana kaja kuomba ushauri ..Dahhh hopefully hatajitokeza mganga zaidi yake.. maana mambo matamu nayo yakizidi Mmmhhh
 
Sasa wewe, ikiwa kunyoa tu hizo nywele inakua ishu! Je kwenda chumvini utaweza? kama walivyosema wadau hapo juu, akimpata wa kumaliza hiyo shuhuli usilalame tena hapa JF ''hooo....mpenzi wangu siku hizi anijali tena na wala hataki kukaa na mimi muda mrefu kama mwanzoni''

Ingawa hujasema ni nywele za wapi, lakini kwa haraka haraka inaonyesha ni za kule sehemu za siri, hilo ni jambo la kawaida kabisa kufanya kwa Mpenzi wako na wala sio kitu cha ajabu, tena hukupwa kabisa kuja kulalama hapa ni vile tu hujui. Hapo ndio utasikia wenzio Wakiji NANGA kuwa wanawafahamu wapenzi wao ''Inn and Out'' unafikiri ni vipi? ndio pamoja na mambo kama hayo unapata nafasi ya KUPERUZI na KUDADISI sehemu nyeti za mpenzi wako.

Vitu kama hivyo ndio huongeza umuhimu wa mwenza wako pale anapokua bali nawe coz huduma kama hiyo huwezi pata toka kwa yeyote yule zaidi ya mpenzi wako, coz hata kuhudumiwa tu yataka trust ya hali ya juu na sio kuhudumia tu peke yake.

ZINDUKA WEWE, HAMKA NENDA KAMNYOE FASTA MWENZIO NA USILALAME WALA KUULIZA TENA HAPA.
 
mpe akupe,mnyoe akunyoe,ndivyo mapenzi yanavyoenda,kumnyoa mpenzi wako kunaongeza zaidi upendo na uaminifu zaidi katika mapenzi,nakushangaa wewe unayepiga chenga kumnyoa mwenzio,subiri anyolewe na mwingine
 
MWAMBIE TU UKWELI KUWA INAKUPA SHIDA KUMNYOA.
Kama bado nii mpenzi tu me ckushauri maana utakuwa unamtimizia majukumu ya mke au mume,na kama kweli mnaplan za kuoana hawezi kukukimbia eti kisa umekataa kumnyoa loh!!!
Mwambie hayo majukumu ya mke na mume huwezi yafanya now jamani,mwambie unavyojiskia hadi humnyoi asikizingue kabisaaaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom