Mpenzi anataka nisinyoe

Deepwater

Member
Nov 27, 2013
8
6
Wadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini ili anielewe kuwa mimi namheshimu kwani kila nikimwambia nipunguze hata kidogo hataki!
 
We utakuwa msukule sasa,maana stori za misukule zinahusisha kuwa na minywele mingi. Huo ni wivu tu, muoneshe we ni mwaminifu.
 
Wadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini ili anielewe kuwa mimi namheshimu kwani kila nikimwambia nipunguze hata kidogo hataki!

Kwanini usiliambie hilo buzi lako kuwa jamaa hataki unyoe?
Kwanini unyoe wakati umekatazwa?
 
papuchi ikizungukwa na msitu mnene huwa na radha sana,manake jamaa itamchukua kama dk 5 kutafuta upenyo, kitendo hicho hufanya tendo kuwa la kufurahisha zaid,kwa hiyo usinyoe mrembo sawa.
 
Sema na jinsia yako

Mbona thread hizi siku za karibuni zimekuwa
nyingi? Hivi ukinyoa ni nini kitakutokea sasa.
 
ha ha h a ha ivi kweli si utakuwa unawashwa.......... duh haya majanga fuga tu ukiona nyingi suka makonga mawili hewa ipite............... embu nikulize swali kwa hiyo huwa uchapi nje pamoja na kuwa na hizo nywele...........?
 
Wadau mpenzi wangu anataka nisinyoe maeneo kisa kazi yangu ni ya kusafirsafiri ana wasiwasi nita cheat,nimevumilia sasa naona nywele zimekuwa nyingi mpaka imekuwa kero,msaada jamani nimwambie nini ili anielewe kuwa mimi namheshimu kwani kila nikimwambia nipunguze hata kidogo hataki!
Awali ya yote wewe ni breed gani? Ishu ya kunyoa ni ya kufanyia kikao na matangazo? Huu uzi wenyewe umeshanipa picha wewe ni m2 wa aina gani. Nyoa hayo madude na upige kimya Kwani unafanyiwa ukaguzi wa usafi? hapa nafikiri mambo ya msingi na O level yanahusika sana. Vinginevyo huyo anayekukataza labda anataka akusuke mabutu
 
Hizi topic za kukatazwa kunyoa "mazivu"zimekuwa nyingi sana,sijui kuna shida gani!!!??
 
Hahahahahahaaa!
Kwani lazima unyoe kipala?
...
Tafuta mkasi pungusa za juu na uzimege hizo zinazokera!!!
When it come to cheating, Nani kakudanganya libolo halitaingia kwa papuchi?
...
Wivu wa kijinga spendagi! Ningekua mimi ningewacha mavumba na ningekula ke wengine kama kadawia! Just ningeosha na shampoo!
 
Wew ni wa jinsia gani kwani?? kama ni Ke suka rasta, kama ni Me nyoa panki kidogo itependeza bhana, usiziache timu timu
 
Kutonyoa na ku-cheat katika mapenzi kuna uhusiano gani wanajamvi? Mwambie mwenza wako aache wivu wa kikuda.
 
Mie nilikuwa sijui kama (ashakum si matusi) mavuzi siku hizi yamekuwa kufuli na hivyo njemba kushindwa kugegeda lol!!!

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom