mpenzi aliyembali na wewe...

EXACTLY!!! Hua tu sipendi kihoma cha kutopigiwa simu siku hio.... Dah! Naona niachie hapo.... Pole Fe lady naamini you(we) will pull thru....

Kumbe tupo wengi jamani,ila ndio hivyo cha muhimu mawasiliano tu na kuwa kwa karibu zaidi ndio kinacho matter, inauma ila ndio hivyo saa zingine fikra mbaya zinakuja kwamba au mwenzangu yupo na mtu now vipi hiyo huwa haufikirii??
 
Ni mhanga wa hii kitu,kwa siku simu si chini ya marambili,na ni kila siku.Sasa hiyo gharama,kama kuna uwezekano wa kuwa pamoja bora wawe pamoja tu.

Ni kweli hujakosea simu ndio inachotakiwa na pia vile vile sio kila siku kwamba unaweza kuwa na credit au utakuwa vizuri kihela,so pia hata skype inasaidia sana aisee,mimi mwenyewe nipo humo humo saa zingine nachanganyikiwa,ni kweli ila kama mmetoka mbali nadhani bora kusubiriana maana siku hazigandi na kila kitu kina mwanzo na mwisho..
 
ni kuhakikisha mawasiliano yanakua juu. Ila kama mpz wako hajatulia uwe nae mbali au karibu atacheat tu.
 
Ni kweli kabisa, saa zingine hiyo kitu pia inaumiza kichwa maana kama upo mbali na mwenzi wako unaweza kufikiria anakusaliti au vipi,ila ni kweli hamna anayepanga kumsaliti mwingine sema ugumu saa zingine unasababisha pia,So hapo kama wewe unashauri watu wa hivyo wafanye nini??

watu... circurmtances za mahusiana na wapenzi wao.... mda wa kua mbali... aina ya mahusiano... Vyoote hivi vimetofautiana from one relatiionship to another; hio yaweza pelekea kua sio ushauri mmoja waweza wafaaa woote. Kikubwa labda nigusie ki/vitu ambavo huchangia mtu kusaliti.

  1. Upweke as in ile hali ya kujisikia kama sasa huna umuhimu.. kama vile alo mbali wahisi hajali anymore. For kama tuelewavyo mpenzi ana nafasi kubwa ya kurejuvinate high spirits ndani yetu wanadamu.
  2. Hamu ya kimwili.. hii ni hasa ya wanaume. wanawake nao wapo but mara nyingi sio wanawake wengi wanabahati ya kufurahia/penda hilo tendo kua mpaka alimiss kwa mda mfupi.
  3. Communication break down... kati ya wapenzi, aither mmoja analega ama kutoonesha kujali....
  4. There may be more but niishie hapa...

Kitu gani mtu afanye asisaliti? Ni kazi saana kulijibu, Ukiwa na such an attitude ni as if umepanga kusaliti sasa ndo una nurse moyo wako kwa kujiuliza hilo swali....
 
kumbuka asiyekuwapo machoni na moyoni... Na mapenzi ya mbali ni the same

Mkuu haya mawazo gani nadhani inategemea mpo vipi na mawasiliano yenu ni ya namna gani,ila huo ushauri wako ni noma mkuu....
 
Ni kweli hujakosea simu ndio inachotakiwa na pia vile vile sio kila siku kwamba unaweza kuwa na credit au utakuwa vizuri kihela,so pia hata skype inasaidia sana aisee,mimi mwenyewe nipo humo humo saa zingine nachanganyikiwa,ni kweli ila kama mmetoka mbali nadhani bora kusubiriana maana siku hazigandi na kila kitu kina mwanzo na mwisho..
Ni kweli wakati mwingine unakuwa na mawazo negative juu ya mwenzako,but you have to eliminate them,be Positive ukisali zaidi,soma biblia kama ni mkristo,Quruan kama muislam ukiamini soon mtakuwa pamoja.
 
watu... circurmtances za mahusiana na wapenzi wao.... mda wa kua mbali... aina ya mahusiano... Vyoote hivi vimetofautiana from one relatiionship to another; hio yaweza pelekea kua sio ushauri mmoja waweza wafaaa woote. Kikubwa labda nigusie ki/vitu ambavo huchangia mtu kusaliti.

  1. Upweke as in ile hali ya kujisikia kama sasa huna umuhimu.. kama vile alo mbali wahisi hajali anymore. For kama tuelewavyo mpenzi ana nafasi kubwa ya kurejuvinate high spirits ndani yetu wanadamu.
  2. Hamu ya kimwili.. hii ni hasa ya wanaume. wanawake nao wapo but mara nyingi sio wanawake wengi wanabahati ya kufurahia/penda hilo tendo kua mpaka alimiss kwa mda mfupi.
  3. Communication break down... kati ya wapenzi, aither mmoja analega ama kutoonesha kujali....
  4. There may be more but niishie hapa...

Kitu gani mtu afanye asisaliti? Ni kazi saana kulijibu, Ukiwa na such an attitude ni as if umepanga kusaliti sasa ndo una nurse moyo wako kwa kujiuliza hilo swali....

Ok sawa sawa hapo kwa ujumla umefungua mambo mengi na umekuwa open zaidi,yeah ni kweli inabidi nadhani communication ni kitu kingine ambacho inabidi kiwe mbele zaidi na kuelewana,kuna ule wakati unafikia mmoja anaonekana hana interest inauma ile mbaya.
 
Yaani we acha tu,it is really difficult.I'm a victim mweeh! Thank God siku hazigandi
Poleni sana mabinti, msikate tamaa wala msisononeke kwa hili suala la umbali.Naomba mkijihisi wapweke mniPM naahidi kujitahidi kuondoa maswahiba yenu au walau kuyapunguza, tupo watu wengi sana humu jamvini wenye mioyo ya huruma na ukarimu kwa mfano Bujibuji, Ndoko, Nyaningabu, The Boss na wengine wengi.
Personally naahidi kutojenga kibanda
 
EXACTLY!!! Hua tu sipendi kihoma cha kutopigiwa simu siku hio.... Dah! Naona niachie hapo.... Pole Fe lady naamini you(we) will pull thru....

Yeah AshaDii....ni ngumu sana but inawezekana kufanikisha be there for him and he will do the same....I have been through that na namshukuru mungu nimeweza kuvuka...challenges are there but u r good enough to overcome....keep going mumy
 
Kumbe tupo wengi jamani,ila ndio hivyo cha muhimu mawasiliano tu na kuwa kwa karibu zaidi ndio kinacho matter, inauma ila ndio hivyo saa zingine fikra mbaya zinakuja kwamba au mwenzangu yupo na mtu now vipi hiyo huwa haufikirii??
huwa ninahic
 
Poleni sana mabinti, msikate tamaa wala msisononeke kwa hili suala la umbali.Naomba mkijihisi wapweke mniPM naahidi kujitahidi kuondoa maswahiba yenu au walau kuyapunguza, tupo watu wengi sana humu jamvini wenye mioyo ya huruma na ukarimu kwa mfano Bujibuji, Ndoko, Nyaningabu, The Boss na wengine wengi. Personally naahidi kutojenga kibanda
acha ujinga toa ushauri.
 
hv unaweza ukaishi vipi na mpenzi uliye mbali naye? yaani umfanyie vitu gani ili asikusaliti ktk love yenu?

Inategemea mnakuwa umbali kwa muda gani, ila kama inachukua muda mrefu kwakweli hapo kazi ipo.
 
kw amtazamo wangu si vizuri kumsaliti mpenzi wako,maana umbali sio kigezo cha wewe kumsaliti mpenzi wako,achana na umbali hata kama hauko mbali nae bali mko nchi moja sehemu tofauti tofauti si vizuri umsaliti mwenzie.

Kwa wale waliosoma riwaya ya ZAWADI YA USHINDI NADHANI WATANIGET VIZURI ni jinsi gani demu yule alivyokuwa na mapenzi ya kweli kwa libwana lake la kuunda kwenye tory.Bwana aliingia vitani lakini demu wake akavulia na kumsubili na aliporudi toka vitani alikuja sura yake imebongonyolewa lakini demu hakujali alizidi kumuona ndiye bwana bwana.Huyo ndie demu wa maana.
 
Mpende kwa moyo wako wote,na kama una malengo nae hiyo ndio iwe silaha ya kukufanya umove on.Jitahidi kuwasiliana nae mara kwa mara kumuweka karibu ili nae asipate vishawishi huko aliko, niendelee...??
 
Back
Top Bottom