Mpe limbwata mkeo/mpenzi wako wa kike atulie

Nimesikia waCongo wana kawaida ya kuwapa limbwata wake zao. Mke anakuwa mchapa kazi, Mume anakuwa muuza sura, hajishughulishi na chochote zaidi ya Kugegedana, na kumtegemea Mke kwa kila kitu.

Na pia wanawafunga wanawake wanakuwa hawachepuki.

Jamani mwenye data atusaidie, ya kweli haya?
 
Hilo LIMBWATA la KIUME lipo,yaani demu wako unamuinamisha na kumuamrisha kwa kutumia remote control,ile nyama KARUMANZIRA atakwambia uishindilie kwenye TIGO yako wewe mwanaume,ikae ndani ya TIGO kwa siku saba,halafu unaitoa na kuikausha juani mpaka inakuwa kavu kabisa halafu unaisaga inakuwa unga,baasi hapo sasa ule unga unachanganya kwenye chakula aina yoyote nusu kijiko cha chai mara saba tu demu KWISHNEY.
 
Katika hizo siku saba hupati choo? Shida yote hiyo ya nini wakati kuna mwanamke halali kwa kukuwa wewe.
Hahahaaaa ukienda haja unatoa unaweka pembeni afu ukimaliza shughuli unairudisha. Loh kazi kwelikweli.
 
Hakuna limbwata mapenz ya sasa hv limbwata lake kua karibu nae mtoe out usicheleww kurudi home ukirudi urudi na zawad yoyote muandae vizur kabla ya mambo mueke wazi kwa mambo yako kua mkweli usichepuke naye hatachepuka maana ukichepuka nae kaliwa
 
Na akumbuke kuna ku renew hapo....sasa sijui ni baada ya muda gani hilo zoezi litafanyika
Hakuna ku renew bhanaa hiyo ndumba ni mpaka kifo kiwatenganishe,ni full shangwe.,usimsikilize Sky Eclat bhana yeye hajali hisia za wenzie,we tuendelee kule FARAGHA kwa raha zetu.
 
Nimesikia waCongo wana kawaida ya kuwapa limbwata wake zao. Mke anakuwa mchapa kazi, Mume anakuwa muuza sura, hajishughulishi na chochote zaidi ya Kugegedana, na kumtegemea Mke kwa kila kitu.

Na pia wanawafunga wanawake wanakuwa hawachepuki.

Jamani mwenye data atusaidie, ya kweli haya?
Hiyo ndumba inaitwa MOBALI KITOKO YA NZAMBE IRO MOTONYOSO WA ZABANGA KUKUNGWENDU.
 
Hiyo ndumba inaitwa MOBALI KITOKO YA NZAMBE IRO MOTONYOSO WA ZABANGA KUKUNGWENDU.
Weweeeee.

Umetisha.

Nifanyie mpango basi niipate hiyo ndumba, maana kuna Shangigi fulani nataka kulifunga, niwe naligegeda peke angu
 
Habari,

Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe,

Hoja ni kwamba kweli ilo libwata lipo la mume kumroga mke au atakula pesa zangu tuu huyu mtaalamu?

Maana mke wangu kila siku anasifia vitu vizuri na matajiri tuu nikikasirika ananiambia ndo nijikaze niwafikie.

Nawasilisha.
Yooouuuweeeeee yaaani utakuwa umefanya blander kumtafutia libwata ili uongeze upendo kwa mwenza wako!!! Utakuwa umeficha chapati kwenye chamber ya choo
 
Watu hawafikirii hiyo limbwata ni nini na ni nini kinafanyika ili kuharibu akili na utashi wa mwenzi wako kama si kuingiza mashetani kwenye mahusiano yenu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom