Mpe limbwata mkeo/mpenzi wako wa kike atulie

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
3,994
5,437
Habari,

Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe,

Hoja ni kwamba kweli ilo libwata lipo la mume kumroga mke au atakula pesa zangu tuu huyu mtaalamu?

Maana mke wangu kila siku anasifia vitu vizuri na matajiri tuu nikikasirika ananiambia ndo nijikaze niwafikie.

Nawasilisha.
 
Ha ha ha ha huyo mwanamke ni shetani sana anataka ukaibe au hakujua kazi yako kabda ya ndoa mjingaa anapenda kudanganywaa huyo
 
Habari,

Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe,

Hoja ni kwamba kweli ilo libwata lipo la mume kumroga mke au atakula pesa zangu tuu huyu mtaalamu?

Maana mke wangu kila siku anasifia vitu vizuri na matajiri tuu nikikasirika ananiambia ndo nijikaze niwafikie.

Nawasilisha.
Hilo LIMBWATA la KIUME lipo,yaani demu wako unamuinamisha na kumuamrisha kwa kutumia remote control,ile nyama KARUMANZIRA atakwambia uishindilie kwenye TIGO yako wewe mwanaume,ikae ndani ya TIGO kwa siku saba,halafu unaitoa na kuikausha juani mpaka inakuwa kavu kabisa halafu unaisaga inakuwa unga,baasi hapo sasa ule unga unachanganya kwenye chakula aina yoyote nusu kijiko cha chai mara saba tu demu KWISHNEY.
 
hahahaa madem wengine bana,, eti "ndo ujikaze na ww uwafikie" binafs huyo angenipa changamoto kali snaa af nkishawafkia akil ingemkaa
 
Hilo LIMBWATA la KIUME lipo,yaani demu wako unamuinamisha na kumuamrisha kwa kutumia remote control,ile nyama KARUMANZIRA atakwambia uishindilie kwenye TIGO yako wewe mwanaume,ikae ndani ya TIGO kwa siku saba,halafu unaitoa na kuikausha juani mpaka inakuwa kavu kabisa halafu unaisaga inakuwa unga,baasi hapo sasa ule unga unachanganya kwenye chakula aina yoyote nusu kijiko cha chai mara saba tu demu KWISHNEY.
Watu mnakaribisha ushoga hivihiv. Nyama siku saba mkunduni?
Mpe limbwata huyo.....
 
Bora nimkojoze kutwa mara3 kuliko kuweka nyama mkunduni... Sijui ndo kushindia biscuits na soda ili usiende haja kubwa
 
Hilo LIMBWATA la KIUME lipo,yaani demu wako unamuinamisha na kumuamrisha kwa kutumia remote control,ile nyama KARUMANZIRA atakwambia uishindilie kwenye TIGO yako wewe mwanaume,ikae ndani ya TIGO kwa siku saba,halafu unaitoa na kuikausha juani mpaka inakuwa kavu kabisa halafu unaisaga inakuwa unga,baasi hapo sasa ule unga unachanganya kwenye chakula aina yoyote nusu kijiko cha chai mara saba tu demu KWISHNEY.

Katika hizo siku saba hupati choo? Shida yote hiyo ya nini wakati kuna mwanamke halali kwa kukuwa wewe.
 
Sio mimi Mamii,mimi natoa ushauri kwa wale MABAZAZI wanaoamini MAUSHIRIKINA ambayo hayapo na tena WAJINGA ndi WALIWAO,Eti LMBWATA sijui upumbavu gani?.,hakuna cha UCHAWI wala nini biaadamu tuache ujinga,hii ni karne ya 21
 
Habari,

Leo naomba msaada maana nimekutana na mtu akaniambia anadawa ya LIBWATA kwa wake za watu yaani mkeo hapindui wala hawezi kukusaliti hata utumbuliwe na magu bado atakua nawe,

Hoja ni kwamba kweli ilo libwata lipo la mume kumroga mke au atakula pesa zangu tuu huyu mtaalamu?

Maana mke wangu kila siku anasifia vitu vizuri na matajiri tuu nikikasirika ananiambia ndo nijikaze niwafikie.

Nawasilisha.
Limbwata kitu gani, njoo tufanye kitu kimoja tu akiliwa na mwingine wananasana kama mbwa hata milele usipotekezea wewe kuwaamuru waachane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom