Mpango wa TCRA, watu wahame mitandao ya simu na namba zao ni upuuzi...

Sijui hawa watu wanawaza kwa kutumia akili gani, na cha kushangaza eti mkuruguenzi ni Profesa!!!
Wanaposema kwamba wanaanzisha utaratibu wa mtu kuweza kuhama na namba yake ya simu kutoka kampuni moja kwenda nyingine, nadhani ni upuuzi wa mwaka...
Yaani mathalani mtu ana namba 0754096210 ya voda, alafu anaamua kuhamia airtel, akitumia namba hiyo hiyo... Hawa watu wamesahau kwamba Gharama za kupiga simu ndani ya mtandao mmoja ni tofauti na gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine?!. Kwa hiyo mi ambaye nilijua ndugu au rafiki yangu yupo voda, siku nikitaka kumpigia natumia line yangu ya voda ili kubana matumizi, kumbe mtu huyo alishahamia airtel na namba hiyo hiyo, so inakula kwangu!!!
Au TCRA wamejisahau kwa kuwa wao wana mihela na hawaangalii wanatumia line gani kupiga mtandao gani? Au wamesahau majority ya watanzania siku hizi wana line zaidi ya moja ili kubana matumizi?

Mi nadhani wawe wabunifu wa kweli, sio kukopi na kupesti tu kila wanachosikia huko nje...
hapo kwenye red mkuu wajuzi wa mambo wameanza kuhoji na hasa huku Afrika juu ya ELIMU na VYETI. Wengi walidhani haya maswali yangeishia kwenye level za certificates lakini ni bahati mbaya sasa inaenda mpaka level ya PhD na Profs kielelezo kuwa rushwa ina nguvu ya kutisha hapa kwetu kuzidi elimu zote. Angalia wote wanaoharibu, hakuna hata mmoja darasa la saba! Ndio maana wakenya walishikilia mzee Kivuitu ajihudhuru baada ya kuvuruga uchaguzi nza si hivyo tu bali degree yake ya UDSM ifutwe.
Hata mimi nilimsikia akiongea na sikuelewa alichokuwa akimaanisha na nikadhani labda nilikuwa pekee

Sijui hawa watu wanawaza kwa kutumia akili gani, na cha kushangaza eti mkuruguenzi ni Profesa!!!
Wanaposema kwamba wanaanzisha utaratibu wa mtu kuweza kuhama na namba yake ya simu kutoka kampuni moja kwenda nyingine, nadhani ni upuuzi wa mwaka...
Yaani mathalani mtu ana namba 0754096210 ya voda, alafu anaamua kuhamia airtel, akitumia namba hiyo hiyo... Hawa watu wamesahau kwamba Gharama za kupiga simu ndani ya mtandao mmoja ni tofauti na gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine?!. Kwa hiyo mi ambaye nilijua ndugu au rafiki yangu yupo voda, siku nikitaka kumpigia natumia line yangu ya voda ili kubana matumizi, kumbe mtu huyo alishahamia airtel na namba hiyo hiyo, so inakula kwangu!!!
Au TCRA wamejisahau kwa kuwa wao wana mihela na hawaangalii wanatumia line gani kupiga mtandao gani? Au wamesahau majority ya watanzania siku hizi wana line zaidi ya moja ili kubana matumizi?

Mi nadhani wawe wabunifu wa kweli, sio kukopi na kupesti tu kila wanachosikia huko nje...

Mkuu Tuko

Ngoja nijaribu kukuelekeza Ninavyoelewa kuhusina na na huo Mfumo ambao TCRA wameutangaza

1. Kwa Huo Mfumo unaitwa Namba Portability.

2. Tanzania si ya kwanza kuwa na huo Mfumo Mataifa Mengi tu yaliyoendelea yana huo Mfumo hata Marekani huwezi kutofautisha namba ya Mtandao just kwa Kuangalia 076 au 073 au 071

3. Kwa mfano leo hutaki Mtandao say wa Tigo na Una namba 0713xx99yy. Unataka kuhamia airtel. Ilivyo sasa unanunua line ya Airtell say 0784uu88bb na unaanza kuwatumia watu message kuwataarifu ndugu na jamaa zako kwamba sasa unatumia namba mpya. Hasara zake ni kwamba kama ulikuwa na namba say 1000 huwezi kuwataarifu wote kwamba umehama kwa hiyo watu wengi tu utawapoteza. Vile vile kuna gharaza za kuwatumia watu message kuwataari kwamba umehama.

4. Umezungumzia habari za kupiga simi kwenye Mitandao tofauti. Kwanza Lazima uelewe kwamba Unachajiwa kiwango Fulani cha pesa si kwa sababu una namba ya tiGO la hasha ni kwa sababu wewe ni Mteja wa tiGO i.e 0713xx99yy will now belongs to you and not to tiGO kwa hiyo ukitaka Kuhama unawaambia airtel kwamba I had 0713XX99YY and I was tiGO customer but now I want to be airtel customer using this same number. Airtel wanakusajili na unakuwa Mteja wa Airtel with number 0713XX99YY utapiga mtu wa airtel mwenye number 0787nn89uu kwa rate ya airtel to airtel. Vile vile ndugu zako wataendelea kukupata kwa kutumia namba yako ile ile na hutakuwa na haja ya kuwataarrifu

4. Kitu kingine kinachonifurahisha kuhusu Number Portability ni kwamba Its an Option. Hakuna mtu atakayekulazimisha kuhama na namba yako unaweza kutupa uliyonayo ukanunua nyingine bila kuhama nayo

Nadhani mkuu utakuwa umenielewa

Niite Polo
 
Last edited by a moderator:
kwa wewe unasitahiri pongezi, sio hawa vichaa wanaanza kulaumu elimu za watu bila ya kujua.
kwa nini tusiwe na uchunguzi kwanza kabla ya kuanza kulaumu?#
Mkuu
Tuko

Ngoja nijaribu kukuelekeza Ninavyoelewa kuhusina na na huo Mfumo ambao
TCRA wameutangaza

1. Kwa Huo Mfumo unaitwa Namba Portability.

2. Tanzania si ya kwanza kuwa na huo Mfumo Mataifa Mengi tu
yaliyoendelea yana huo Mfumo hata Marekani huwezi kutofautisha namba ya
Mtandao just kwa Kuangalia 076 au 073 au 071

3. Kwa mfano leo hutaki Mtandao say wa Tigo na Una namba 0713xx99yy.
Unataka kuhamia airtel. Ilivyo sasa unanunua line ya Airtell say
0784uu88bb na unaanza kuwatumia watu message kuwataarifu ndugu na jamaa
zako kwamba sasa unatumia namba mpya. Hasara zake ni kwamba kama ulikuwa
na namba say 1000 huwezi kuwataarifu wote kwamba umehama kwa hiyo watu
wengi tu utawapoteza. Vile vile kuna gharaza za kuwatumia watu message
kuwataari kwamba umehama.

4. Umezungumzia habari za kupiga simi kwenye Mitandao tofauti. Kwanza
Lazima uelewe kwamba Unachajiwa kiwango Fulani cha pesa si kwa sababu
una namba ya tiGO la hasha ni kwa sababu wewe ni Mteja wa tiGO i.e
0713xx99yy will now belongs to you and not to
tiGO kwa hiyo ukitaka Kuhama unawaambia airtel kwamba I had 0713XX99YY
and I was tiGO customer but now I want to be airtel customer using this
same number. Airtel wanakusajili na unakuwa Mteja wa Airtel with number
0713XX99YY utapiga mtu wa airtel mwenye number 0787nn89uu kwa rate ya
airtel to airtel. Vile vile ndugu zako wataendelea kukupata kwa kutumia
namba yako ile ile na hutakuwa na haja ya kuwataarrifu

4. Kitu kingine kinachonifurahisha kuhusu Number Portability ni kwamba
Its an Option. Hakuna mtu atakayekulazimisha kuhama na namba yako
unaweza kutupa uliyonayo ukanunua nyingine bila kuhama nayo

Nadhani mkuu utakuwa umenielewa

Niite Polo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tuko

Ngoja nijaribu kukuelekeza Ninavyoelewa kuhusina na na huo Mfumo ambao TCRA wameutangaza

1. Kwa Huo Mfumo unaitwa Namba Portability.

2. Tanzania si ya kwanza kuwa na huo Mfumo Mataifa Mengi tu yaliyoendelea yana huo Mfumo hata Marekani huwezi kutofautisha namba ya Mtandao just kwa Kuangalia 076 au 073 au 071

3. Kwa mfano leo hutaki Mtandao say wa Tigo na Una namba 0713xx99yy. Unataka kuhamia airtel. Ilivyo sasa unanunua line ya Airtell say 0784uu88bb na unaanza kuwatumia watu message kuwataarifu ndugu na jamaa zako kwamba sasa unatumia namba mpya. Hasara zake ni kwamba kama ulikuwa na namba say 1000 huwezi kuwataarifu wote kwamba umehama kwa hiyo watu wengi tu utawapoteza. Vile vile kuna gharaza za kuwatumia watu message kuwataari kwamba umehama.

4. Umezungumzia habari za kupiga simi kwenye Mitandao tofauti. Kwanza Lazima uelewe kwamba Unachajiwa kiwango Fulani cha pesa si kwa sababu una namba ya tiGO la hasha ni kwa sababu wewe ni Mteja wa tiGO i.e 0713xx99yy will now belongs to you and not to tiGO kwa hiyo ukitaka Kuhama unawaambia airtel kwamba I had 0713XX99YY and I was tiGO customer but now I want to be airtel customer using this same number. Airtel wanakusajili na unakuwa Mteja wa Airtel with number 0713XX99YY utapiga mtu wa airtel mwenye number 0787nn89uu kwa rate ya airtel to airtel. Vile vile ndugu zako wataendelea kukupata kwa kutumia namba yako ile ile na hutakuwa na haja ya kuwataarrifu

4. Kitu kingine kinachonifurahisha kuhusu Number Portability ni kwamba Its an Option. Hakuna mtu atakayekulazimisha kuhama na namba yako unaweza kutupa uliyonayo ukanunua nyingine bila kuhama nayo

Nadhani mkuu utakuwa umenielewa

Niite Polo

Sawa mkuu. But chukulia kwamba wewe sasa hivi una namba 0713xx99yy, tigo. Mimi nina namba tatu, tigo, airtel na voda. Nikitaka kukupigia, kwa kuangalia namba yako hiyo, nitatumia line ya tigo, kwa sababu kama ni mchana kwa mfano, nitachajiwa takribani sh 100 kwa dakika. Lakini wakati nakupigia, kumbe wewe ushahamia airtel na mi sijui, so mi natumia namba yangu ya tigo, matokeo yake nachajiwa zaidi ya sh 300 kwa dakika!!!

Hivi hapo huoni tatizo mkuu?
 
kwa wewe unasitahiri pongezi, sio hawa vichaa wanaanza kulaumu elimu za watu bila ya kujua.
kwa nini tusiwe na uchunguzi kwanza kabla ya kuanza kulaumu?#

unasitahiri = unastahili?
 
Hv wabongo mnataka nini? Hv hamjachoka tu kubeba simu 3 au nne kisa ni unataka uwe hewani mitandao yote na wakupate? kutokana na hilo la watu kutaka kuwa na simu nyingi sababu ya mtandao mchina akaona hili ni soko maana kubeba simu 3 sio mchezo,akawatengenezea simu zinazotumia mpaka line 4 kuwapunguzia mzigo wa tz,lakini huku akiongeza mionzi ya mawasiliano ili line zote ziweze kufanya kazi vyema,huku akiharibu afya yako wewe mtumiaji wa mchina kwa mionzi,na wabongo huku tunashangilia,lakini hatujiulizi kwa nini simu kama iphone,sungsung galax,nokia lumia na simu zote za matawi ya juu kwa nini hawaweki line mbili au 3,?kwa nini hizi simu zinazoingia line nyingi zinatengenezwa na kuuzwa huku dunia ya tatu? Leo tcra anakuja na mpango wa kutumia line moja bado watu mnaona wanakosea,,? Mimi naona ni jambo jema sana,itapunguza hata zile gharama za kila kampuni ya simu kuwa na minara yake ambapo kila mnara garama ya uendeshaji unakuja kuilipa wewe mlaji wa mwisho, kwa hiyo mi naona hata gharama za kupiga simu zitapungua
 
Hapa sidhani maana unahamisha hadi code... yaani kama code namba yako ya sasa ni 0787....... unahama nayo kwenda tigo!!!

Mkuu, hapo nimekusoma na nimeelewa. Nilidhani unahama na namba tu, ukiacha code No...... kwa mtandao Mama.
 
Hujaelewa kinachozungumziwa. Umekurupuka. Kama huna uhakika ungeuliza.

Suala si kuhama bali kuweka mazingira ya kiteknolojia ambapo namba ya mteja itakuwa inapatikana kwenye mitandao yote bila ya kulazimika kuwa na line nyingi.

Mfano ni kwamba iwapo unayempigia yuko kwenye mtandao wa Zante, basi simu yako itapiga kana kwamba wewe ni mteja wa Zantel. Umenisoma?
 
Mimi nina namba ya tigo lakini nilijaribu kutafuta laini ya airtel (celtel enzi hizo) kwa namba sawa na namba yangu ya tigo nikaambiwa tayari kuna mtu kashasajili. Na nimekutana na kesi kibao za namna hiyo najaribu kumpigia ndugu/rafiki lakini nikikosea code za mwanzo kwa mfano badala ya voda nikapiga tigo au airtel with the same no's napata mawasiliano na mtu mwingine. Case kama hii sensitive tcra wameaandaaje au wamekurupuka tu. Kwa sababu mimi namba ninayotumia nimeitumia zaidi ya 8 years na sipo tayari kuiacha na mwenye namba ya airtel asipokubali kuicha itakuwaje?
 
Mkuu Tuko

Ngoja nijaribu kukuelekeza Ninavyoelewa kuhusina na na huo Mfumo ambao TCRA wameutangaza

1. Kwa Huo Mfumo unaitwa Namba Portability.

2. Tanzania si ya kwanza kuwa na huo Mfumo Mataifa Mengi tu yaliyoendelea yana huo Mfumo hata Marekani huwezi kutofautisha namba ya Mtandao just kwa Kuangalia 076 au 073 au 071

3. Kwa mfano leo hutaki Mtandao say wa Tigo na Una namba 0713xx99yy. Unataka kuhamia airtel. Ilivyo sasa unanunua line ya Airtell say 0784uu88bb na unaanza kuwatumia watu message kuwataarifu ndugu na jamaa zako kwamba sasa unatumia namba mpya. Hasara zake ni kwamba kama ulikuwa na namba say 1000 huwezi kuwataarifu wote kwamba umehama kwa hiyo watu wengi tu utawapoteza. Vile vile kuna gharaza za kuwatumia watu message kuwataari kwamba umehama.

4. Umezungumzia habari za kupiga simi kwenye Mitandao tofauti. Kwanza Lazima uelewe kwamba Unachajiwa kiwango Fulani cha pesa si kwa sababu una namba ya tiGO la hasha ni kwa sababu wewe ni Mteja wa tiGO i.e 0713xx99yy will now belongs to you and not to tiGO kwa hiyo ukitaka Kuhama unawaambia airtel kwamba I had 0713XX99YY and I was tiGO customer but now I want to be airtel customer using this same number. Airtel wanakusajili na unakuwa Mteja wa Airtel with number 0713XX99YY utapiga mtu wa airtel mwenye number 0787nn89uu kwa rate ya airtel to airtel. Vile vile ndugu zako wataendelea kukupata kwa kutumia namba yako ile ile na hutakuwa na haja ya kuwataarrifu

4. Kitu kingine kinachonifurahisha kuhusu Number Portability ni kwamba Its an Option. Hakuna mtu atakayekulazimisha kuhama na namba yako unaweza kutupa uliyonayo ukanunua nyingine bila kuhama nayo

Nadhani mkuu utakuwa umenielewa

Niite Polo

huwezi kupotezana na mtu wakati unaweza kuifanyia diversion namba ya zamani ili mtu akikutafuta simu ije kwenye namba mpya.
NAHISI HARUFU YA 10% Kwenye hilo deal.
 
Last edited by a moderator:
Sijui hawa watu wanawaza kwa kutumia akili gani, na cha kushangaza eti mkuruguenzi ni Profesa!!!
Wanaposema kwamba wanaanzisha utaratibu wa mtu kuweza kuhama na namba yake ya simu kutoka kampuni moja kwenda nyingine, nadhani ni upuuzi wa mwaka...
Yaani mathalani mtu ana namba 0754096210 ya voda, alafu anaamua kuhamia airtel, akitumia namba hiyo hiyo... Hawa watu wamesahau kwamba Gharama za kupiga simu ndani ya mtandao mmoja ni tofauti na gharama za kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine?!. Kwa hiyo mi ambaye nilijua ndugu au rafiki yangu yupo voda, siku nikitaka kumpigia natumia line yangu ya voda ili kubana matumizi, kumbe mtu huyo alishahamia airtel na namba hiyo hiyo, so inakula kwangu!!!
Au TCRA wamejisahau kwa kuwa wao wana mihela na hawaangalii wanatumia line gani kupiga mtandao gani? Au wamesahau majority ya watanzania siku hizi wana line zaidi ya moja ili kubana matumizi?

Mi nadhani wawe wabunifu wa kweli, sio kukopi na kupesti tu kila wanachosikia huko nje...

Wewe ndiyo una matatizo na siyo madogo, wabongo mnatakiwa kuelewa jambo kwanza kabla ya kutoa lawama!!
Profesa alisema wazi kwamba utaratibu huu siyo wa lazima, sasa unalia nini??
Alieleleza wazi ni kwa wale kwangu mimi 'wanaojali ubora wa huduma' na hawataki usumbufu wa kubadilisha namba za simu!!!, Afrika ya kusini upo utaratubu huu na hakuna malalamiko yoyote.
 
Soma posts zote, utaelewa nalia nini...
 
wangeiweka kwa watakaotaka na sie wenye kaukakasi kidogo tukapewa nafasi ya kuona kwa wenzetu mwishowe nasi tukajiunga
 
Soma posts zote, utaelewa nalia nini...

Sorry to say this, una kichwa cha panzi, for your info kuna watu wana line moja ya simu na wanaitumia kupiga line zote na wengine simu zao internet ni muhimu sana, again hii service halazimishwi mtu kujiunga..
 
Mwanzo mie nilidhani line moja unatumia number zaidi ya moja (nikasema afadhali) ila baadae ndio nikasikia number moja mitandao yote, ila wamesema Watz tunatakiwa tuelimishwe kuhusu huu mfumo mpya kabla ya kuingia huko pia mteja anahiari ya kujiunga na huu mfumo ambao wao wamesema unategemea kuanza rasmi January 2013 na hawataingilia huu utaratibu wa mtu mmoja ana simu mbili yenye mitandao tofauti. Tatizo hapa ni ile gharama ya mitandao yetu ya simu kutofautiana sana
 
Ndio maana Watanzania wanakurupuka kusaini vitu bila hata kuvisoma. Na inaelekea wewe ni wale wale... Kwani ingekuchukua dakika ngapi kusoma posts chache tu na ukaelewa? Anyway, inaonyesha kwa kuwa ni weekend huna mda wa 'kusumbua' kichwa chako...
 
Mkuu Tuko

Ngoja nijaribu kukuelekeza Ninavyoelewa kuhusina na na huo Mfumo ambao TCRA wameutangaza

1. Kwa Huo Mfumo unaitwa Namba Portability.

2. Tanzania si ya kwanza kuwa na huo Mfumo Mataifa Mengi tu yaliyoendelea yana huo Mfumo hata Marekani huwezi kutofautisha namba ya Mtandao just kwa Kuangalia 076 au 073 au 071

3. Kwa mfano leo hutaki Mtandao say wa Tigo na Una namba 0713xx99yy. Unataka kuhamia airtel. Ilivyo sasa unanunua line ya Airtell say 0784uu88bb na unaanza kuwatumia watu message kuwataarifu ndugu na jamaa zako kwamba sasa unatumia namba mpya. Hasara zake ni kwamba kama ulikuwa na namba say 1000 huwezi kuwataarifu wote kwamba umehama kwa hiyo watu wengi tu utawapoteza. Vile vile kuna gharaza za kuwatumia watu message kuwataari kwamba umehama.

4. Umezungumzia habari za kupiga simi kwenye Mitandao tofauti. Kwanza Lazima uelewe kwamba Unachajiwa kiwango Fulani cha pesa si kwa sababu una namba ya tiGO la hasha ni kwa sababu wewe ni Mteja wa tiGO i.e 0713xx99yy will now belongs to you and not to tiGO kwa hiyo ukitaka Kuhama unawaambia airtel kwamba I had 0713XX99YY and I was tiGO customer but now I want to be airtel customer using this same number. Airtel wanakusajili na unakuwa Mteja wa Airtel with number 0713XX99YY utapiga mtu wa airtel mwenye number 0787nn89uu kwa rate ya airtel to airtel. Vile vile ndugu zako wataendelea kukupata kwa kutumia namba yako ile ile na hutakuwa na haja ya kuwataarrifu

4. Kitu kingine kinachonifurahisha kuhusu Number Portability ni kwamba Its an Option. Hakuna mtu atakayekulazimisha kuhama na namba yako unaweza kutupa uliyonayo ukanunua nyingine bila kuhama nayo

Nadhani mkuu utakuwa umenielewa

Niite Polo

Asante sana kwa ufafanuzi mkuu,

Hehee jina lako utata mtupu, Mwakyembe akiliona atakuwa anaogopa sana!
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo mie nilidhani line moja unatumia number zaidi ya moja (nikasema afadhali) ila baadae ndio nikasikia number moja mitandao yote, ila wamesema Watz tunatakiwa tuelimishwe kuhusu huu mfumo mpya kabla ya kuingia huko pia mteja anahiari ya kujiunga na huu mfumo ambao wao wamesema unategemea kuanza rasmi January 2013 na hawataingilia huu utaratibu wa mtu mmoja ana simu mbili yenye mitandao tofauti. Tatizo hapa ni ile gharama ya mitandao yetu ya simu kutofautiana sana

Asante sana kwa kuelewa mkuu... tatizo la gharama halipo kwa aliyehama, litakuwa kwa watakaompigia aliyehama, na hapa tunaongelea watanzania wa kawaida watakaompigia mtu wakidhani wanapiga mtandao ule ule, kumbe keshahama zamani...
 
Back
Top Bottom