Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

CHADEMA bhana, mnafanya propaganda mpaka kwenye maisha ya watu?

Kwa hiyo mnataka kusema waliomjeruhi huyo jamaa ni CCM? Halafy na huyo mjeruhiwa ni part of the deal kwamba aumizwe ili CDM ibomolewe.

Mh, kweli kama critical analysis ndivyo hivi ilivyo, no wonder Tanzania ni taifa lenye rasilimali nyingi lakini liknalookngoza kwa umaskini duniani.

heb jiulze kwanza walomwekea sumu mwakyembe ni akina nan?? then jiulze tena walomwekea sumu nyngne mwandosya ni akina nan?? endelea kujiuliza walowateka kubanda na ulimboka ni akina nan?? unapofikia mwisho jiulize waliorusha bom arusha ni akina nan?? halaf tafakari kesi zao ziliishia wap?? ukipata jibu kaa nalo then angalia ni akina nan wasio na hofu ya Mungu wanaoweza kufanya unyama huo hapa Tz umepandshiwa bei ya umeme baada ya kupata gesi mtwara uhoji we unahoji vitu vya kijinga acha kutumia makalio kufikiri
 
Mimi hata huo mpango sijauona hapa naona sarakasi tu tu mara Zitto mara Mchange.

Weka huo mpango mkakati
 
chanzo cha habari''CHADEMA DIASPORA''
SIJUI ILITEGEMEA NINI kama chanzo chenyewe ndio hicho.... ujinga uliopitiliza wa nyie chadema pro-chagaz ni kutunga uongo,kuusambaza, kuupamba,kuuvumisha na hatimaye ninyi wenyewe mlioutunga kuanza kuuamini.
at least somebody is injured(chairperson of your party who is opposing pro-chagaz block)
at least there is plenty of evidence on your violence acts in your part(mwigamba was beatten,sugu attacked police inside bunge area,video of RWAX planning some deadly attacks on some innocent citizens,confrontation with police in different places in this country..............etc.......etc.......etc.......etc)
hizi hekaya toka kwenu vifaranga hazitaweza kumponya mama yenu. you are swimming agaist the strongest political current in morden politics(ZZK).
MTAJUTA NAWAAMBIA
na nina hakika wenye akili miongoni mwenu (ingawa wako wachache sana) wameshaisoma na wameamua kukaa kimya.
wakati ZZK ana deal na mama zenu... we are here to deal with YOU(VIFARANGA). we wont stop till you get enough and perish

I can't see a single point in your bla bla bla

Only PAIN IN AZZ.

Pole.
 
Raha ya kuwa CDM ni hii ubongo unakuwa hakuna mawingu na ukungu wa ujinga wa CCM....kila siku unapata raha sana..matukio yakitokea...wakati unawaona state operatives wakipanda,wakijisema wanakwenda wapi,wakitenda,na wakijana majibu ya kitoto kuwa walikuwa wapi...wakati ulikuwa ukiwaona wapi wanakwenda.
 
unadhani ni nani anayejeruhi watu tz?ulimboka, mwangosi, etc .....zitto naye anajiweka pabaya sana..hizi kelele anazopiga kawapa sana mabwana zake nafsi ya kumdespose wadai ni cdm kwa mategemeo ya kufanya shambulizi la mwisho ktk pr ya cdm....itakuwa ni suicide kwa zitto....

zitto uwe mwangalifu sana.ccm unaowatetea wanaweza wakakurudi ile mbaya.unawajua vizuri ccm??
 
Mtoi, nina maangalizo kadhaa kutokana na maelezo yako yanayojikanganya,

1. Chanzo -CDM Diaspora unategemea nini kama sio habari za upande mmoja...kwa sasa ni vema kumsikiliza bwana Yona kwanndiye mtekwaji na pia kwani kila Mbowe na Slaa wanapowasiliana na viongozi lazima wakushirkishe? kuna ukweli alionywa na uongozi kwamba aache mahusiano naZitto kwani hata sasa uongozi wa CDM umeagiza viongozi na wanachama kutoshirikiana na Zitto , Hili lina ukweli

hujaelewa hoja ya msingi, kwani huyo yona utaenda kumhoji wewe, nadhani waandishi wa habari watakusaidia kumhoji then watakupa habari, ila tunataka habari isiwe one side, wahojiwe upande wa pili, then wafuate maadili na taaluma inavyo sema, huwezi toa maalezo ya yona tuu kuwatuhumu viongozi wa juu wa CHADEMA bila hata ya kuwahoji hao viongozi hata kama watakanusha ila mwandishi utakuwa salama na habari yako. zinduka best.. changanya na zako
 
lakini tumeshuhudia ngumi na mawe kwenye vikao halali vya chama CDM pamoja na kile ambacho mwenyekiti wa mkoa Arusha alipigwa jiwe. Pia ukiangalia zile ngumi za pale mahakamani ni ngumu kuhisi mipango inatoka nje. tatizo lipo ndani ya chadema humo humo ila watu wanatunga story ili kuwapumbaza watu
 
zitto uwe mwangalifu sana.ccm unaowatetea wanaweza wakakurudi ile mbaya.unawajua vizuri ccm??
keshaingi ktk kundi la simba wwalioshimba akidhani ni paka tuu km paka wengine....Mbaya zaidi madhara kwa zitto yanashawishi sana Maccm kwa vile kwao na kwa fikra zao watafaidika hivi:

-Kuchafua sifa ya CDM ....tayari zitto kadanganywa aanze payuka kuhusu Chacha Wangwe...kwa habari nyingine anatangaza kifo chake..halafu anaomba ulzinzi kwa wale wanaoota afe kipindi hiki.

-Pia kwa jinis CCM wamemkuza sasa hivi Zitto ..ni hatari sana akijungza na CCM..kwani kumpatia nafasi nafasi sawa au zaidi ya ukatibu mkuu hata Zitto hatoridhika.....na kumtosa umaarufu waliompa sasa hivi hawatoweza uondoa kirahisi katikati ya wanaCCM.Kwa hiyo wanatafuta namna ya ku mdespose tuu.
 
Mtoi,

Nimesoma na kurudia mara mbili, bado siuoni uthibitisho wa kutengezewa hizo kashfa za ugaidi, ninachokiona hapa ni hisia zenu tu.

Unapokuja na allegations nzito kama hizo uthibitisho ni muhimu sana, lakini narration pekee haishawishi.

Pili, leo mnawanyoshea vidole vidole waandishi wa habari kwa sababu wanaandika pia udhaifu wenu, lakini walipowatukuza, hata pale ambapo hamkustahili, walikuwa wazuri, sio!!

Mathalani, waandishi wa habari walipomtengeneza Shitambala kule Mbeya, kiasi naye kujiona hakuna zaidi yake, walikuwa wazuri sio, maana tunafahamu hata jinsi walivyowatumia viongozi wa jadi kuibeba CDM.

Watu makini wamejitahidi sana kuwatahadharisha kuhusu mwenendo wenu uliowafikisha hapa, hamkujali, mlijiona mna akili kuliko Wtz wengine, kumbukeni mnavyozidi kuvuta hicho kitanzi ndivyo mnavyojimaliza zaidi.

Hao mnaowaita wasaliti leo wana siri nyingi na nzito za chama, mnapoendelea kutunishia misuli mnazidi kujiweka uchi, na mwisho wa siku ni kuwasaliti Watanzania waliowekeza matumaini yao makubwa kwenu
 
Wanasiasa wa ccm wana akili ndogo sana ! mimi naona heri hata chizi anaye okota makopo kuliko kuwa mwanasiasa wa hiki chama cha kijani .
 
U can lie some people for some tym,but u cant lie all the people for all the tym.ww umepata wapi hzo taarifa ulikuwa wapi wakati hao jamaa wanawasiliana na huyo mchange sijui mhange na ulijuaje kama wanwasiliana na huyo jamaa,usitufanye tukuamini kwa story za kubuni za kupindisha kilichosemwa na muhusika mwenyewe kwa kutuletea movie mbovu kama hyo was u tracking them na ulitumwa na nani ww,kwa malengo yapi jipange mm bado sijashawishika jaribu teena aisee
 
lakini tumeshuhudia ngumi na mawe kwenye vikao halali vya chama CDM pamoja na kile ambacho mwenyekiti wa mkoa Arusha alipigwa jiwe. Pia ukiangalia zile ngumi za pale mahakamani ni ngumu kuhisi mipango inatoka nje. tatizo lipo ndani ya chadema humo humo ila watu wanatunga story ili kuwapumbaza watu

Mkuu ulikuwepo mahakamani? Au ulisimuliwa?maana,unapozungumzia, ngumi pale mahakamani ni ukweli usiopingika kwamba hujui kuhusu hilo . ukweli ni kwamba ngumi za mahakamani zilikuwa ni kati ya wahuni waliokodiwa na Zitto na washirika wake wa ccm wakisaidiwa na cuf . na wale wahuni tunawajua kwa majina wengineo.tuliowafahamu wanatoka keko,Tandika, na makangarawe . leo unapojifanya tatizo liko ndani si kweli.tatizo ni kwa zitto ccm.
 
kaka unamatatizo yakupenda bilahatakujua kama nawewe wanakupenda!kimtazamo unaonesha wazi kuwa unaamini Mbowe na Silaa nikama manabii.
kabla hujamkashifu mtu,tuambie mabo yamaana kabisa ambayo umewahi kufanya hapa duniani walau yathibitishe kuwa wewe siyo wale walioshikiwa akili?
 
hakuna kitu kitakacho jificha, asante Mtoi ukweli utajulikana tuu, ngoja hela waliyopewa ianze kupungua, tutajua mengi
 
Asanteni wadau kwa kusaidia kuchukuza mambo haya na kuwafanya watu waujue ukweli 'The righteous hates falsehood, but the wicked brings shame and disgrace' (Proverbs 13:5) shame and disgrace is waiting for such people who for the ambition of power and for the sake of evil gains they spoil others, for such people their wages is near
 
Mkuu ni kama tukio la Ulimboka v Serikali na Yona v Chadema hayatofautiani........................wote Yona na Ulimboka kwa namna Fulani walitofautiana na taasisi zao kasha wakaadhibiwa, tusiwe vipofu.
Alichopata Ulimboka huez fananisha na Yona. Ulimboka aliteswa bila hiari yake lakini Yona ni kwa makubaliano maalumu ndio mana hata ukimuona ni kama kapata ajali ya Toyo kwe barabara za vichochoroni akati Ulimboka South ilimuhusu.
 
Back
Top Bottom