simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Martin Shikuku ameaga dunia hivi leo. Shikuku atakumbukwa kwa harakati zake kumtetea mwananchi wa kawaida hadi kuitwa jina la utani 'peoples watchman.' RIP M. Shikuku. Source KTN