Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu!

Moja ya mambo ninayoyapendelea kutazama kwenye Luninga ni Cartoons na filamu za Wanyama.
Ninapendelea Cartoons zaidi kuliko filamu za maigizo za watu halisi. Nachelea kusema Watunzi na Wazalishaji wa Cartoons ni ma- genius ambao hawatajwi katika ulimwengu wetu.

Mpaka sasa hakuna Cartoon yoyote inayoifikia Cartoon ya Tom na Jerry Kwa u- genius, ubunifu, visa na matukio, burudani, Mafunzo, Sanaa ya graphic and design n.k.

Cartoon ya Tom & Jerry imekaa kitoto zaidi lakini inamionzi ya kuamsha akili katika ubongo wa Mtu. Hakika William Hanna and Joseph Barbera. Walifanya kitu kikubwa Sana katika Sanaa ya Cartoon.

Cartoon zingine nzuri na zinazofurahisha,
1. RANGO
2. OASIS
3. Samurai Jack (2001–2017)
4 Avatar The Last Airbender (2005–2008)
5 TotalDrama (2007–2014)
6.  Scooby-Doo
7.  JusticeLeague (2001–2004)
8. TheAvengers:

Ila Tom na Jerry Kiboko,
Vipi Kwa upande wako, ni ipi katuni unayoipenda na kuinyooshea mikono.

Taikon wa Fasihi
DAR es salaam
 
07644819f792503cab00021a119c625d.jpg
 
Kwema Wakuu!

Moja ya mambo ninayoyapendelea kutazama kwenye Luninga ni Cartoons na filamu za Wanyama.
Ninapendelea Cartoons zaidi kuliko filamu za maigizo za watu halisi. Nachelea kusema Watunzi na Wazalishaji wa Cartoons ni ma- genius ambao hawatajwi katika ulimwengu wetu.
Ninamiaka 40+ lakini huwa ninaangalia maramojamoja nikitoka nicheke
 
Back
Top Bottom