Mpaka leo Upinzani haujampa Rais Samia jina baya, Watamshindaje?

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Wahenga walisema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya cha ajabu mpaka leo upinzani haujambatiza Samia jina lolote baya sio fisadi, sio dikteta yaani Mama ana enjoy tu. Je watamshindaje sasa? Wao washaitwa watoa taarifa na sio vyama.

Asali ni mbaya sana
 
..kwani Raisi gani wa Tz aliopewa majina mabaya na wapinzani halafu akashindwa?
 
Wahenga walisema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya cha ajabu mpaka leo upinzani haujambatiza Samia jina lolote baya sio fisadi, sio dikteta yaani Mama ana enjoy tu. Je watamshindaje sasa? Wao washaitwa watoa taarifa na sio vyama.

Asali ni mbaya sana
Kwa mja mwema hata ukimpa jina baya Mungu huwa anamlinda !!
Badala yake wale watoa jina baya ndio huwa wanaangamia ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wahenga walisema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya cha ajabu mpaka leo upinzani haujambatiza Samia jina lolote baya sio fisadi, sio dikteta yaani Mama ana enjoy tu. Je watamshindaje sasa? Wao washaitwa watoa taarifa na sio vyama.

Asali ni mbaya sana
hana baya na mtu, mama wa watu anapiga kazi zake kwa uwazi na weledi wa viwango, na kazi inaonekana wazi utamchafua au kumuita jina baya gani ๐Ÿ’

zaid sana jamii itakuona mbaya wewe ๐Ÿ’

wakimchukia ndio anapendwa zaid dah ๐Ÿ’

Ni ngumu sana yaani ๐Ÿ’
 
Wahenga walisema ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya cha ajabu mpaka leo upinzani haujambatiza Samia jina lolote baya sio fisadi, sio dikteta yaani Mama ana enjoy tu. Je watamshindaje sasa? Wao washaitwa watoa taarifa na sio vyama.

Asali ni mbaya sana
Kimsingi wapinzani mengi wa nchi za kiafrika wapo kimasilah
 
Back
Top Bottom