Movie tatu unazozipenda sana.........taja.

Sijaona mtu kasema NIKITA humu...hii movie ya ukweli sn...sio ya zamani coz bado jamaa wanaendelea na shooting, ni series.

Kuna Traveller-hii nasikia jamaa wa usalama waliizuia kutoka coz ilikuwa ni km inatoa siri za kiusalama zaidi.

From Paris with love.

Taken

Tekken

The latest new movie imetoka Feb this year ni SAFE HOUSE, Denzel Washington ndani.
 
Ama kweli wabongo hamna uzalenda. Sijaona mtu ametaja muvi ya kibongo hata 1
 
Watu wanapenda sana muvi za ki-detective afu wenzetu wako mbali sn...sasa za bongo mapenzi saana afu hamna mvuto.
Ama kweli wabongo hamna uzalenda. Sijaona mtu ametaja muvi ya kibongo hata 1
 
Sijaona mtu kasema NIKITA humu...hii movie ya ukweli sn...sio ya zamani coz bado jamaa wanaendelea na shooting, ni series.

Kuna Traveller-hii nasikia jamaa wa usalama waliizuia kutoka coz ilikuwa ni km inatoa siri za kiusalama zaidi.

From Paris with love.

Taken

Tekken

The latest new movie imetoka Feb this year ni SAFE HOUSE, Denzel Washington ndani.

safe house naskia ni tamu balaa .
 
Hizi hapa ni noma

1.the pursuit of happiness-WILL SMITH
2.the great debators- DENZEL WASHNGTON.
3.remember the titans- DENZEL WASHINGTON.
4.artificial intelligence..

Penye red:

Hiyo movie ya 1 sitakuja kuisahau katika maisha yangu, inafundisha sanaa. Will na mwanae wamejitahidi.
 
Kwa upande wa seasons kuna

1.everybody hates chris (Chris Rock hapa alifunika)

2.my name is early. (ya kuchekesha sana)
 
1. Passion of christ
2. Green mile
3. Bourn iddentity & two others
4. American pie zote
5. The mask + son of the mask
6.God father zote

Oh yeah borne supremecy ,identity mkuu zote nazikubali saana
 
Bucho umefeli mtihani. Tatu tu!
Mie ntaandika mistari ya bongo fleva hapa manake nilizo nazo kichwani ni kama 20 hivi!
Ha ha haa bacho ameshindwa kuvumia akazigandamiza zote.
 
24 hours,why did i get married, i think i luv my yf,first blood 1 to 4,three can play that game, deliver us from eva,vampire diaries,machette,etc!!

Series ya 24 ni kiboko ya muziki
 
1. MISSION IMPOSSIBLE: Ghost Protocol (mpya yA Tom Cruise)

2. CRANK HIGH VOLTAGE; naipenda sana, kila nikikasirika najituliza na hii (STATHAM JASON)

3. FINAL DESTINATION
 
Wakuu mm ni mpenzi ya series ya 24hrs .nitafute series gani ya mvuto kama huo wa ;jack bour na akina almeida? Manake jamaa wa ctu ni kiboko ,kuko busy masaa yote.
 
1. MISSION IMPOSSIBLE: Ghost Protocol (mpya yA Tom Cruise)

2. CRANK HIGH VOLTAGE; naipenda sana, kila nikikasirika najituliza na hii (STATHAM JASON)

3. FINAL DESTINATION

duh umenikumbusha namba mbili hapo juu sijui nimeisaauje ? Kila nikiiangalia nacheka mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom