Mi napenda movies zote za Sydney Sheldon na Danielle Steel
Icheki if tomorrow comes na sands of time, master of the games, hata godfather nafkiri ni yake jamaa anatisha kwenye script writing
Kudos kwa kupenda movies zinazotokana na novels ambazo ni best sellers.
Sands of time na Tomorrow comes (though ilikuwa B movie) lakini ni nzuri.
Pia movies kama The Girl with a Dragon Tattoo(based on Stieg Larsson's novel) na Hannibal the Cannibal(based on Thomas Harris') ziko vizuri sana.
Ama kweli wabongo hamna uzalenda. Sijaona mtu ametaja muvi ya kibongo hata 1
Ni kweli, napenda sn novels. Sidney Sheldon is my best.Nitazitafuta hizi mkuu,ingawa cku zote naamini ukisoma novel yenyewe huwa ni balaa zaidi ya movie.
The persuit of Happyness.
Death at the funeral
American Pie.
The ring (american version)
The grudge (japanese version)
Rango
Saw 1-7
Final destination 1-5
Doomsday
Wrong Turn
Even hills have eyes
na kuna movie mpya imetoka mwezi uliopita ya Bob Marley, its cool.
Not without my daughter
The vampire diaries
An Officer and a Gentleman
**Hotel Rwanda**
Hizi hapa ni noma
1.the pursuit of happiness-WILL SMITH
2.the great debators- DENZEL WASHNGTON.
3.remember the titans- DENZEL WASHINGTON.
4.artificial intelligence..
Nitazitafuta hizi mkuu,ingawa cku zote naamini ukisoma novel yenyewe huwa ni balaa zaidi ya movie.
1. A Few Good Men
Hii ni court thriller kali-court martial ya US marines.
2. A time to kill.
Hii ni adaptation ya novel ya John Grisham.Samuel Jackson brilliant performance.Katika mazingira yapi au sababu zipi zinaweza kufanya ukaua?Will you kill for loved ones?Court thriller ya ukweli.
3.Godfather.A timeless movie mini series.
Apollo na wewe hizi ndio tatu?:A S-coffee: