Movie Review: The Mechanic

safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........................movie rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wakati mwingie nadhani ni vema ku review movie za kibongo, may be wanaweza kujirekebisha na kutengeneza filamu zilizo bora siku za mbeleni.

Wazo zuri, lakini wanapenda kusoma ili kujifunza? Manake utafikiri 'haambiliki fulani'? Unless unaandaa kongamano/warsha/semina kuwaelekeza.
 
You wont regret watching it pia tafuta FAST FIVE cast waliomo kwenye hiyo movie ni VIN DIESEL, PAUL WALKER, JORDANA BREWSTER, TYRESE GIBSON, LUDACRIS. Pia movie ya PIRATES OF THE CARRIBEAN: ON STRANGER TIDES ya Johnny Depp

Siku hii uliponiambia nitafute fast five, niliagiza mtu akaninunulie the movie...
only to find i had watched it over a friends place but did not know the name,
the last weekend i managed to watch I am number Four it was fun plus nilii
enjoy zaidi kumkuta one of he jamaa i like (Timothy Olyphant wa HIT MAN - Hope umeangalia this movie)...
Enways I am number Four was cool.
 
I knew you would love I AM NUMBER FOUR,Hit Man tena i watched it several times have you watched WAKE WOOD????
 
Yes to all... NO to WAKE WOOD, what sort of movie is it?
MOVIE: WAKE WOOD (2011)
DIRECTOR: DAVID KEATING
SYNOPSIS: Still grieving the death of their only child Alice at the jaws of crazed dog, vet Patrick and Pharmacist Louise relocate to the remote town of Wake Wood where a local pagan ritual gives them three more precious days with her(Alice). But what will they do when it's time for their new daughter to go back??
 
Will look for it! Sort of a horror eeeh??
 
Naona umeanza kuogopa sasa lol!!!! ni Horror, Drama, Suspense and Thriller sijui utaweza kucombine vyote hivyo, halafu tafuta YOGI BEAR uangalie it's a comic and comedy movie u'll just love it
 
Hapa sasa we are liberated....lol...
Hiyo YOGI BEAR last time when buying movies
nakumbuka uli recommend but i had completely forgotten the name..
I want my lunch! Am hungry....lol
 
I must watch 'I am number four' fast five its just a fine movie,n what abt a new'Bourne...' from Matt,is it out yet?
 
Ninaposoma hii review ya Movie nazidi kuwa-interested na movie mbalimbali ambazo members wa JF wanaziongelea.

Nina ombi moja, Je ni wapi hapa Dar es salaam ninapoweza kununua au kukodi Movie hizo?

Naomba mnielekeze, they are very interesting.
 
Ninaposoma hii review ya Movie nazidi kuwa-interested na movie mbalimbali ambazo members wa JF wanaziongelea. Nina ombi moja, Je ni wapi hapa Dar es salaam ninapoweza kununua au kukodi Movie hizo?
Naomba mnielekeze, they are very interesting.

Inategemea wewe access yako rahisi ni wapi/vipi wengine wanapata ilokua downloaded
wengine wananunua zipo kilo corner ya Dar, Posta, Kariakoo, Ubungo hizo ni biggest centers
In special cases kwa mtu anae fuatilia saana movies hua na mtu anae mzoea ili zikitoka
napewa fidbak kua kuna movie imetoka... kama nafasi ipo unaenda Cinema pale
M-city au pale Mwenge ni maamuzi yako...
 
Hapa sasa we are liberated....lol...
Hiyo YOGI BEAR last time when buying movies
nakumbuka uli recommend but i had completely forgotten the name..
I want my lunch! Am hungry....lol
Halafu nilikuwa narudia kuangalia the Godfather Part 1 ya 1972 halafu Part 2 ya 1974 na Part 3 ya 1990 hizi movie za enzi hizo uki-compare na teknolojia ya sasa hivi unaweza kuwa unacheka tu, lakini when you look back unagundua kuwa kipindi hicho teknolojia waliyokuwa wanatumia ndio kama vili ilikuwa latest in those years hebu imagine movie ya 1972 halafu na the way they dressed kwenye Godfather.

Lunch on the way..
 
Inategemea wewe access yako rahisi ni wapi/vipi wengine wanapata ilokua downloaded
wengine wananunua zipo kilo corner ya Dar, Posta, Kariakoo, Ubungo hizo ni biggest centers
In special cases kwa mtu anae fuatilia saana movies hua na mtu anae mzoea ili zikitoka
napewa fidbak kua kuna movie imetoka... kama nafasi ipo unaenda Cinema pale
M-city au pale Mwenge ni maamuzi yako...
Pale Mwenge wanaonyesha za kidosi tu.
 
Halafu nilikuwa narudia kuangalia the Godfather Part 1 ya 1972 halafu Part 2 ya 1974 na Part 3 ya 1990 hizi movie za enzi hizo uki-compare na teknolojia ya sasa hivi unaweza kuwa unacheka tu, lakini when you look back unagundua kuwa kipindi hicho teknolojia waliyokuwa wanatumia ndio kama vili ilikuwa latest in those years hebu imagine movie ya 1972 halafu na the way they dressed kwenye Godfather.

Lunch on the way..

Don't tempt me... I love all the Dons...lol.. I know you may not get me for they are
considered more of men's movies .. But hapo sichock.. mpaka sasa sielewi mara ngapi i
have watched... in number one i love the fact dogo aloonekana mjinga na weak in the whole
family just proved to be man enough than any other sons...

Almost giving up on the lunch...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom