Movie Review: The Mechanic

Nashukuru sana Asha D.

Maeneo ambayo umeyaorodhesha ni mengi. Ila nilitaka kujua kama kuna maduka specific ambayo naweza kununua DVD hizo na if possible nikajua ni wapi pa ku-download pia some of the movies since I have an access ya internet.

Ni rahisi kwangu mimi kufika maeneo ya kariakoo, Posta Mpya, Mwenge na Ubungo hivyo you can just direct me on any movie shop located on those areas mentioned above.
 
That is all new to me... wanataka kutoa zaidi ya Ultimatum ya 3??

Its true! ilikuwa itoke early this year inaitwa 'The bourne Legacy' na main cast alikuwa Matt Damon,but now kumbe itatoka 2012 feb,cast ni Jeremy renner!i cant wait to see it..
 
Don't tempt me... I love all the Dons...lol.. I know you may not get me for they are
considered more of men's movies .. But hapo sichock.. mpaka sasa sielewi mara ngapi i
have watched... in number one i love the fact dogo aloonekana mjinga na weak in the whole
family just proved to be man enough than any other sons...

Almost giving up on the lunch...
Hahaha!! I knew you would say that, by the way don't give up for lunch banaa:biggrin1::biggrin1:
 
Yes, Universal wamesema kuwa itatoka next year but funny and surprisingly enough it will not feature Matt Damon check this site for more info BeyondHollywood.com.

Wameniboa wala sidhani kama nitakua na mzuka nayo... nao
Holly wood na their complications eti Bourne ana act with conditions of the director

The link ni nzuri nimeona movie nyingi zaidi... na clips za X-men naona
safari hii new colurful costume..
 
Nashukuru sana Asha D.

Maeneo ambayo umeyaorodhesha ni mengi. Ila nilitaka kujua kama kuna maduka specific ambayo naweza kununua DVD hizo na if possible nikajua ni wapi pa ku-download pia some of the movies since I have an access ya internet.

Ni rahisi kwangu mimi kufika maeneo ya kariakoo, Posta Mpya, Mwenge na Ubungo hivyo you can just direct me on any movie shop located on those areas mentioned above.

Dah! siwezi taja specific mara nyingi personaly nina speacial delivery...
 
i wil loolk fot it in my library ila mmmmh utamu utapungua kidogo
 
Nashukuru kwa hilo Asha D.

Ila kama kuna member yeyote anayeweza kunielekeza popote ninapoweza kununua DVD za movie mbalimbali then I will be very happy.
 
Yes nimeona but wao kwani wana haraka gani ya kutoa hio Bourne 4??
Naamini ndo maana hata Damon kaona kua akikubali Director mwingine it wont be as good.
Sielewi kwanini halafu umenikumbusha X-Men ngoja nije niirudie kuiangalia pia
 
Yes nimeona but wao kwani wana haraka gani ya kutoa hio Bourne 4??
Naamini ndo maana hata Damon kaona kua akikubali Director mwingine it wont be as good.
Matt Damon mwenyewe alishasema he is likely not going to feature in the 4th one, walipoishia ni pazuri, maana ata kwenye vitabu baada ya Ultimatum story imekuwa kama inakosa muelekeo.
 
Thus you get my surprise when nimesikia a number 4 is coming up!
Napenda actor wa nje.. wanajali saaana reputation, Matt anaona bora
akose mpunga kuliko kuharibu his bourne identity ID...
 
Wamekuwa wanazungumzia Bourne 4 tangu Ultimatum ilipotoka, sema baada ya Damon kuact kwenye Green Zone (kwangu ilikuwa ni kama Bourne) naona wamehamua kuikacha project. Wampe Nolan au Caruso idirect with Brad Pitt au Christian Bale kama Bourne.
 
I would radher it is Brad... And i thought i was only the only one thinking that about Green zone... frankly did not like it...
 
Nawaona partner na Fynest mmekua busy sana hapa!!

Well mi wiki hii ndo nimepata muda kweli wa kukaa chini na kuangalia movie kwa utulivu bila presha...Juzi nimeangalia LIMITLESS...kinda interesting ...alafu nikaangalia THE A-TEAM which i enjoyed even more for they spoke swahili a lil bit....next nikaangalia THE MECHANICS..awsome movie but the ending wasn‘t very satisfying.I didn‘t want Steve to die but then atleast Arthur survived.Next on the list was I AM NUMBER FOUR...seriously i really hope there will be a part two maana ilinikosha!

Nyie mnaoongolea Bourne kama Matt hatakiwamo sidhani kama itanoga.Yeye ndo aliyefanya zile nyingine zikawa nzuri.
 
sure Bourne 4 without matt its awfull...i watched "i am number four" dah it was awesome and great scene when number six appeared to save number four..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom