Movie nzuri zenye maudhui ya kwenye Biblia

caidah

Senior Member
Aug 17, 2017
110
153
Habari wana jamvi,

Kuna kipindi kinafika unatamani ukae na familia muangalie movie zenye story za kufunza au movie zenye maudhui mazuri ya dini.

Leo nakuletea movie & Tv series maarufu zinazoelezea vitabu mbalimbali vya biblia.

1. The passion of the Christ 2004
2. The temptation of the Christ 1988
3. Noah 2004
4. Exodus: Gods & kings 2014
5. Risen 2016
6. The ten commandments
7. Ben hur 2016
8. The prince of Egypt 1988
9. His only son 2023
10. One night with the king 2006

Pia zipo Tv series based on the bible kama ifuatavyo

1. The chosen
2. The bible

Pia zipo inspiration religious movies hizi zinaongelea miujiza ya Mungu kwenye maisha ya watu na vitu kama hivyo;

1. I can only imagine 2018
2. Miracle from heaven 2016
3. Paul apostle of Christ
4. Mary Magdalene 2018
 
The Temptation of Christ haiko based na Bible na wakristo watakuwa offended nayo. Ni sawa na Jesus Christ Superstar au Monty Python's Life of Brian.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom