Movie gani imekubamba zaidi 2016?

kuna movie kama fast and furious hii ya mwisho ni movie inayofaa kuangalia watoto. imekuwa so computerized na uongo wa wazi wazi mpaka inakera. kiukweli hata mimi si mpenzi wa movie zinazokuwa computerized sana mpaka uhalisia unapotea. movie inapendeza kuwe kuna chembe ya ukweli kiasi flan.
100% mkuu, nikishajua movie ni ya staili hio hata sihangaiki ku download kabisaa
 
Mpaka sasa hii movie ya In The Heart Of The Sea ndiyo bora kwangu, huchoki kuitazama na story yake iko vizuri sana kwa maisha ya kila mtu.
Chris Hemworth (Thor) kacheza vizuri sana humu.

Bado naisaka IP Man 3
Daaah nimelishusha hicho kitu cha the heart of the sea....
Bonge moja la pichaa then inayo fuatia labda madmax kwa upande wangu mwaka huu..2016
 
Aisee.. Kuna movie ya 1994 inaitwa wonder seven (phantom seven). Yaani naitafuta hii movie, ni ya mochelle yeoh, inahusu wapiganaji flani hivi ambao kila mmoja ana pikipiki (motorcycle rider).
Mwenzao mmoja atakufa, watamzika na pikipiki yake... Yaani watamweka juu ya piki piki na kuifunga mabomu, zen wanaisukuma kuelekea kwenye korongo... Kisha wanalipua yale mabomu..

Inshort, mwenye nayo anaisaidie au nawezaje ipata!??

ktambo sana hil dubwana nakumbuka enz izo banda umiza bila sh 20 utaishia kuchek tela tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom