Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

Boss hata nyimbo za bolingo zina message
Think better
Hiphop has its own way kuanzia uandishi mpaka uwasilishaji
Motra is ajust a rapper kama ally choki na wengineo all they do is rapping
Kwahiyo hata Khadija Kopa angetoa Diss kwa kikosi kazi bado wana hip hop wangemdiss na yeye.?
 
2nd
When t comes to disstrack not necessarily ukajibu kilichoandika
Dis is dis mtu unatoa mapungufu ya upande wa pili u dont stick kwenye hoja au point zake
Huyo motra kadis alivyodiss na wao watamdis kivyao
Usiwapangie jinsi ya kufanya
Kama motra ameanzisha ugomvi wa mawe kwenye nyumba ya kioo acha alinywe
Diss ya motra inaonesha wazi kwamba kaandikiwa, na tena walitumia muda mwingi kumbuka since kikosi kazi waachie diss kwa weusi umepita mwaka na zaidi

Kwanini nasema hivyo

Kwasababu ukiangalia mashairi aliyoimba motra kwenye track yake ya juzi utaona mchizi ni talentless yaani hakuna vina. Kafanya ulaghai kama ule aliotufanyiaga kala jeremeiah miaka ile kwenye dear god which I can do better than him

Machalii wachuga wengi wameanza kumjua motra kupitia hii diss walikuwa wanamuona jamaa wamoto lakini tangu niwawekee ngoma yake ya juzi woye wameingia mitini, wameahindwa kabisa kumtetea
 
We umejuaje kwamba huyo wife ni motrah?

Kwani motrah ni jinsia gani mpaka umuhusishe na kilichoimbwa mle?
Mbona unakaza fuvu chalii ..kwani pmawenge alivyotoa iyo ngoma ya kiwaki unadhaani kamtolea Nani? Mbaya zaidi kadhidi kudhihirissha yeye ni boya tu maana Motra kamjaza naye kajaa mzima mzima.
Kama pmmawenge alikuwa na mpango wa kuijibu Basi angetuliza kichwa na siyo kukurupuka kiboya , alipaswa kuiskiza vizuri #WEUPE Ila apate content ya kuandika na Kisha kuijibu kitu chenye akili. Sasa yeye katowa ngoma imejaa maneno ya shombo na mipasho halafu msiojua nyie mamluki mnajaa kiboya tu bila kujua mtu wenu bado ajajibu ngoma ya #WEUPE Hadi Sasa

Ndani nakupa wewe kazi kaskize ile ngoma ya #WEUPE fresh ndo utajua kuwa mawenge kakurupuka.
 
Boss hata nyimbo za bolingo zina message
Think better
Hiphop has its own way kuanzia uandishi mpaka uwasilishaji
Motra is ajust a rapper kama ally choki na wengineo all they do is rapping
Kwa hiyo unataka kutuambia wakina Nikk na wenzie kikosi kazi ni waimba taarabu
 
Diss ya motra inaonesha wazi kwamba kaandikiwa, na tena walitumia muda mwingi kumbuka since kikosi kazi waachie diss kwa weusi umepita mwaka na zaidi

Kwanini nasema hivyo

Kwasababu ukiangalia mashairi aliyoimba motra kwenye track yake ya juzi utaona mchizi ni talentless yaani hakuna vina. Kafanya ulaghai kama ule aliotufanyiaga kala jeremeiah miaka ile kwenye dear god which I can do better than him

Machalii wachuga wengi wameanza kumjua motra kupitia hii diss walikuwa wanamuona jamaa wamoto lakini tangu niwawekee ngoma yake ya juzi woye wameingia mitini, wameahindwa kabisa kumtetea
Hahaha eti Motra kaandikiwa ..vip na pmawenge kaandikiwa na wenzie? Acha kuleta hoja za kikumbavu ..ile diss imesimama na imejitosheleza kiasi kwamba hata kikosi hawana Cha kujibu Yani wamechanwa ile mbaya ..Sasa huyu mawenge amekosa majibu ndio anakuja na diss ya mipasho na kuanza mtukana mchizi.

Halafu Motra Kama wewe ndio umejua juzi Basi ni wewe ..huyu mwamba kablaa hajaja dar pale ndio alikuwa ndio miongoni waa best rapper na emcee wanaojua Nini maananya hip-hop ..Sasa wewe Motra umemjua juju tu wakati tumekiwa naye mtaa Hadi anaanza mziki 2009 wewe ilikuwa buza uko unaokotaa makopo hujui chochote kuhusu hiphop
 
Mbona unakaza fuvu chalii ..kwani pmawenge alivyotoa iyo ngoma ya kiwaki unadhaani kamtolea Nani? Mbaya zaidi kadhidi kudhihirissha yeye ni boya tu maana Motra kamjaza naye kajaa mzima mzima.
Kama pmmawenge alikuwa na mpango wa kuijibu Basi angetuliza kichwa na siyo kukurupuka kiboya , alipaswa kuiskiza vizuri #WEUPE Ila apate content ya kuandika na Kisha kuijibu kitu chenye akili. Sasa yeye katowa ngoma imejaa maneno ya shombo na mipasho halafu msiojua nyie mamluki mnajaa kiboya tu bila kujua mtu wenu bado ajajibu ngoma ya #WEUPE Hadi Sasa

Ndani nakupa wewe kazi kaskize ile ngoma ya #WEUPE fresh ndo utajua kuwa mawenge kakurupuka.
Si kamtolea mwanamke, kwani kwenye title ya ngoma kuna neno motra limeandikwa pale?

Kati ya motra na p nani kamfanya mwenzake aonekane zuzu?

Motra angetaka kuendelea kubakia japo na kaheshima kidogo anakopewa na baadhi ya watu asinge jaribu kutoa ngoma yeyote ya diss baada ya diss yake ya WEUPE. Kutoa tena ngoma ya diss kumemuondolea hako kaheshima kadogo alikokuwa anapewa na kale kakundi kalikokuwa kanampa heshima kameanza kumchukulia mwana kama boya

Hakutakiwa kutoa diss Na hata kama angetoa basi angetafuta utulivu na kutuliza akili kuipika ngoma ili iwe kali itakayoonesha ushindani kuliko hichi kituko cha HAUTAKI ambacho kimewaacha watu maswali mengi ya kujiuliza na kupelekea watu kupata mashaka kua kwa ubovu wa hii ngoma basi hata ile diss yake dhidi ya kikosi kazi huwenda hakuandika yeye.

Unaniambia nikasikilize ngoma ya WEUPE na wakati nimeweka hadi lyrics ambazo kawachana member wa kikosi kazi kwenye thread yangu? au katoa ngoma nyingine WEUPE part 2 ndio unani recommend nikaiskilize?
 
Hahaha eti Motra kaandikiwa ..vip na pmawenge kaandikiwa na wenzie? Acha kuleta hoja za kikumbavu ..ile diss imesimama na imejitosheleza kiasi kwamba hata kikosi hawana Cha kujibu Yani wamechanwa ile mbaya ..Sasa huyu mawenge amekosa majibu ndio anakuja na diss ya mipasho na kuanza mtukana mchizi.

Halafu Motra Kama wewe ndio umejua juzi Basi ni wewe ..huyu mwamba kablaa hajaja dar pale ndio alikuwa ndio miongoni waa best rapper na emcee wanaojua Nini maananya hip-hop ..Sasa wewe Motra umemjua juju tu wakati tumekiwa naye mtaa Hadi anaanza mziki 2009 wewe ilikuwa buza uko unaokotaa makopo hujui chochote kuhusu hiphop
We humjui P mawenge kua ni top song writer hapa tanzania? au hukumsikia kwenye FANYA WEWE aliposema "Mi ni mwandishi mi ni rapa mi ni entertainer, na bila ubishi niko hapa kuwakilisha vema.../"

Huyo motra nimeanza kumskiza kitambo pengine hata wewe ulikua humjui umekuja kumjulia kwenye hii diss, motra ni wack kafanya collabo na kina kinya, dizasta na boshoo na wote wamemficha na ndio naweza kusema katika nyimbo zote alizoimba zikapangilika ni hiyo diss ya WEUPE ambayo nina uhakika 100% kua ameandikiwa kutokana na record yake kwenye nyimbo zake alivyokua anaimba hazijawahi kuwa nzuri

Achilia mbali kuwa best, Motra hawezi kuwa hata best beginner wa rap. Kuna dogo anaitwa nala mzalendo ni mchanga kwenye game ila show yake ni mara 900 ya MOtra
 
Mimi nimekuja kuchungulia kama ile ngoma ya KRS One ya trap imepatikana🏃🏃🏃
 
Oyaaa nyie ma haters kaskizeni ngoma la Motraa #WEUPE PEE ..acheni uduwanzi hip-hop hamuiwezi nyie mamluki munaaribu gemu machali wa dar mnafeli Sana.

Arusha imewakilisha bongo hip-hop kimataifa kwa miaka mingi Sana. Ni takataka gani ya Dar ishawahi kufika hata Nigeria hapo kupiga kolabo?

X plastaz wamepiga show za kushato hapo USA, ENGLAND, UHOLANZI, na pengine pengi Tena miaka hiyo hata machali wengi hamjazaliwa hapa.

G-sun kapiga BET cypher 2009 pembeni akiwamo, Nick minaji, Nipsey hastle, KRS One na wakali kibao, hao wakina Nikk walikuwa wapi wasifanye hizo movement, wakali Kama akina Fid Q, KIKOSI CHA MIZINGA, wanaheshimu hip-hop ya Chuga maana wanajua ilipowatoa.

Nyie watoto wa juzi mamluki hamjui kitu oote kuhusu hip-hop mnaannza wadiss WEUSI hujui walipoanza game wakati wengine mpo kwenye viuno vya baba zenu pumbavu kabisa.

Joh Makin anarap huyo Nikk mbishi alikuwa chokoraa tu mitaa ya hapo sinza kafunzwa mziki na wahuni role model wake ni Joh leo anakuja leta chuki za kimama wakati kipaji anacho anashindwa kutumia nafasi aliyopata kazi kutowa track za kudiss ma presenta, na wakali wengine wa media halafu akidisiwa na kuchanwa ukweli analeta mbambamba mingi.

Nyie machali mkae mkijua watu Wana switch game ili kuvutia ma fansi maana Kila kizazi kinakuja na staili yake. Sasa huyo Nikk na wenzie machoko wanakalia kulia lia tu na muda unakwenda ..next three years Hawa mbanga tutawatoa kweye game mazima.

Hip-hop ipo Arusha na Kenya tu ..hapo dar wengi mipasho.

Kama unabisha BISHA.
Maelezo meeeengi utoto mtupu, amka upo gizani kijana wa CCM.
 
We humjui P mawenge kua ni top song writer hapa tanzania? au hukumsikia kwenye FANYA WEWE aliposema "Mi ni mwandishi mi ni rapa mi ni entertainer, na bila ubishi niko hapa kuwakilisha vema.../"

Huyo motra nimeanza kumskiza kitambo pengine hata wewe ulikua humjui umekuja kumjulia kwenye hii diss, motra ni wack kafanya collabo na kina kinya, dizasta na boshoo na wote wamemficha na ndio naweza kusema katika nyimbo zote alizoimba zikapangilika ni hiyo diss ya WEUPE ambayo nina uhakika 100% kua ameandikiwa kutokana na record yake kwenye nyimbo zake alivyokua anaimba hazijawahi kuwa nzuri

Achilia mbali kuwa best, Motra hawezi kuwa hata best beginner wa rap. Kuna dogo anaitwa nala mzalendo ni mchanga kwenye game ila show yake ni mara 900 ya MOtra
huyo ni best rapper wa Adam Mchomvu Mex Cortez kamchana vibaya mno!!!

Hata sijawahi kumuelewa flow yake ata content zake dah Ila promo aliyopigiwa kipindi anatoka duh noma....

Aendeleze beef na mwanae wa zaman Jonijo kugombania lile jina "Baba Ako" Ila kwenye michano mwana bado sana!
 
Back
Top Bottom