OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,128
- 24,065
hahahaha futi 6 mbona punch nyepesi Sana ..kweli nyie machali wa dar hamjui kutofautisha lines za hip-hop . Mtahitaji darasa la kutoshaKafunga mziki kulingana na ukubwa wa shughuli
Angepiga nyundo kama zile za futi 6 au zile za kazini ingekuwaje?