KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Tazama msafara wa Obama unavyokuwa umetengenezwa huwezi kujua yupo gari gani!!
http://cdn.theatlantic.com/static/mt/assets/podcasts/motorcade-1200px.jpg
Kaka hata motorcade ya Raisi wetu imetulia. Huwezi jua yuko gari gani! Sometimes anakuwa kwenye ambulance
mkuu umenimaliza mbavu siku nyingine JK hua anapanda mpaka gari za Polisi zile au zile defender za FFU
Anagonga dripu ya maji taratibuKaka hata motorcade ya Raisi wetu imetulia. Huwezi jua yuko gari gani! Sometimes anakuwa kwenye ambulance
Binafsi uwa siafikiani na tabia ya wanausalama wetu kuiga ulinzi wa marais wa nje. Kwa sababu hata ukiangalia level ya vitisho ni tofauti kabisa kwa kila rais hapa duniani. Marais wetu wanaweza kutembea kwa miguu mitaani na wasifanywe lolote na mtu!
Kwa msingi huo, utaona kuwa kwetu suala la usalama linatumia gharama nyingi sana unneccessry! Ukawii kusikia inaagizwa hata gari ya kugundua shambulio la kemikali!!!! Unacheza na bongo?