Afrika kuwa na ma-rais wenye asili ya nje ya Afrika inawezekana?

Machepele

JF-Expert Member
Jun 28, 2019
289
420
Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke.

Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa mwenye asili ya kiafrika (African- American) huko marekani, hakufua dafu system ikamtema.

Mnamo 2009, Barack Obama alikuwa mgombea wa kwanza wa urais aliyeteuliwa na chama kikuu, ambacho ni Democratic. Alikuwa Mmarekani-mweusi wa kwanza kuchaguliwa (na kuchaguliwa tena kwa awamu mbili) kuwa rais wa Marekani mwenye asili ya kiafrika tena si tu kiafrika bali kiafrika mashariki, si ni hapo tu Kenya bhana kwa Mzee Kenyatta, kwa Kinauhuru.

Lakini hivi karibuni(2021) tumeshuhudia tena katika historia ya marekani ikipata makamu wa kwanza wa rais mwenye asili ya kusini-Mashariki mwa Marekani (India), hapa ninamzungumzia Kamala Harris.

Obama bila shaka aliiongoza Amerika siyo kwa bahati mbaya. Maana ninachokijua wamarekani hususa ni zile taasisi zinazo husika kufanya vetting ya viongozi wa ngazi za juu kama Rais wapo makini sana. Haikuwa bahati mbaya hata kidogo kumchangua Obama kuanzia kwenye chama(Democratic) hadi kwenye kura(Ballot Paper).

Kufupisha story
KILICHOMFANYA OBAMA kuchukua urais wa marekani ukiachilia mbali vigezo vya kielimu, kukubalika chamini nk.. Lakini yalikuwa ni mawazo ya kimarekani. NIKAZIE HAPA (yaani Obama ni Mwafrika mwenye mawazo ya kimarekani)ndiyo maana hata zile mission kubwa kubwa za kijeshi zilizo leta matokeo chanya kwa marekani zilifanikiwa chini ya Obama alipata support kutoka kwenye system za kijeshi nchini marekani.

TURUDI AFRIKA
Kuna marais wa Afrika(Ni waafrika, kimwonekano, rangi ya ngozi na nywele na kwa sura Lakini kiuhalisia siyo waafrika) ndiyo maana wameweka bond uhai wa kiuchumi, kimaendeleo na kielimu katika mikono ya wazungu.

Ninachoweza kusema ni kwamba Afrika tunaweza tusiwe na rais mwenye asili ya kizungu, (kama wapo mtanisaidia kuwataja), kama ilivyo kwa marekani kuwa na rais mwenye asili ya kiafrika (kama ilivyokuwa Obama).

Let say leo, Tanzania ipate rais mwenye asili ya Kimarekani.
Inawezekana?

#Recap thread

Machepele
Lokesheni inasoma Mwanza.
 
Marekani si nchi ya Wazungu. Marekani ni nchi ambayo Wazungu na Weusi wote wamehamia tu.

Na Barack Obama mama yake alikuwa mzungu.

Kama unataka kutoa mfano wa nchi ambayo wahamiaji wamekuja kuongoza, tafuta nchi nyingine, si Marekani.

Waafrika hawajaweza kuvuka siasa za ukabila wao kwa wao kubaguana, unataka uwaambie aje mtu mwenye asili ya nje kuwaongoza?

Tanzania Nyerere alijaribu kufundisha somo la uraia, kwamba mtu wa rangi yoyote anaweza kuwa raia wa Tanzania na kutuongoza, watu wakalalamika mpaka wakataka kumpindua.

Soma "Building a Peaceful Nation : Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania 1960- 1964" cha Paul Bjerk kaandika matatizo aliyoyapata Nyerere kwenye kupitisha sheria ya uraia Tanzania.

Matatizo hayo hayakumalizika, yapo mpaka leo Tanzania na nchi nyingi za Afrika.
 
Inawezekana Sana tu, kama Muhajemi Rostam ana influence ya kuwawekea Rais anashindwa Vipi kumuweka Rais mwenye Asili ya ulaya?

Umeshindwa tu kutengeneza hoja yako, Mose Katumbi mmiliki wa TP Mazembe NI Myahudi na amegombea Urais Congo, Zambia sasa hivi kuna Polisi Wachina.
 
Soma "Building a Peaceful Nation : Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania 1961- 1964" cha Paul Bjerk kaandika matatizo aliyoyapata Nyerere kwenye kupitisha sheria ya uraia Tanzania.
🙄🙄
 
Attachments

  • IMG_20240113_003425.jpg
    IMG_20240113_003425.jpg
    31 KB · Views: 2
Inawezekana Sana tu, kama Muhajemi Rostam ana influence ya kuwawekea Rais anashindwa Vipi kumuweka Rais mwenye Asili ya ulaya?

Umeshindwa tu kutengeneza hoja yako, Mose Katumbi mmiliki wa TP Mazembe NI Myahudi na amegombea Urais Congo, Zambia sasa hivi kuna Polisi Wachina.
Hakuna mtu anaitwa muhajemi,ila kuna mtu anaitwa muajemi,labda kama ulimaanisha muha-jemi
 
Kinyeo kinapwita.
Usiwe mkaidi unapokosolewa,halafu unajiita Doctor ila ukikoselewa una kuwa na maneno ya ajabu,jifunze kuwapenda wanaokukosoa hao ndo wnataarifa sahihi juu yako,binafsi nimeelimika na kubadilika kupitia jf kwa baadhi ya members kukosoa uandishi wangu.

Hebu niambie unaongea hadharani dheni unatamuka neno muhajemi kwa watu wenye uelewa si ni aibu,leo hii unakuwa na maneno ya ajabu kwa kukosolewa na mtu asiyekufahamu

Pole sana,ila badilika uwe na mtazamo chanya kwa wakosoaji wako,
 
Ukimchukua rais wa nchi moja ya Afrika mfano Samia ukamuweka kwenye kiti cha Baiden unadhani atafanya sawa na anachokifanya sasa?
Kama umegundua atafanya tofauti basi uzungu au uafrika wa Obama hauna madhara bali mifumo
Hata Tanzania rais anafanya hayo kwa sababu ya mifumo tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Marekani si nchi ya Wazungu. Marekani ni nchi ambayo Wazungu na Weusi wote wamehamia tu.

Na Barack Obama mama yake alikuwa mzungu.

Kama unataka kutoa mfano wa nchi ambayo wahamiaji wamekuja kuongoza, tafuta nchi nyingine, si Marekani.

Waafrika hawajaweza kuvuka siasa za ukabila wao kwa wao kubaguana, unataka uwaambie aje mtu mwenye asili ya nje kuwaongoza?

Tanzania Nyerere alijaribu kufundisha somo la uraia, kwamba mtu wa rangi yoyote anaweza kuwa raia wa Tanzania na kutuongoza, watu wakalalamika mpaka wakataka kumpindua.

Soma "Building a Peaceful Nation : Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania 1960- 1964" cha Paul Bjerk kaandika matatizo aliyoyapata Nyerere kwenye kupitisha sheria ya uraia Tanzania.

Matatizo hayo hayakumalizika, yapo mpaka leo Tanzania na nchi nyingi za Afrika.
Majority ya wamarekani ni ngozi nyeusi au nyeupe?.
Hoja yangu imsejikita zaidi kwenye mwonekano.

Assume mzee Joe Biden leo aongoze taifa ndani ya Afrika?
 
Labda Mchina,
Jean Ping Mchina alishinda uchaguzi wa Gabon 2016 wakina Bongo wakampora.
 
Majority ya wamarekani ni ngozi nyeusi au nyeupe?.
Hoja yangu imsejikita zaidi kwenye mwonekano.

Assume mzee Joe Biden leo aongoze taifa ndani ya Afrika?
Kuwa majority hakukupi haki zaidi ya ku own nchi.

Afrika bado tunabaguana wenyewe kwa wenyewe kikabila hatujakubali mzungu kuwa raia Afrika.

Hata hao Wahindi tu tuna wa qualify "Mtanzania mwenye asili ya Asia". Hatukubali huyu Mtanzania bila qualification.

Nishakueleza matatizo aliyopata Nyerere kwenye suala hili mpaka jeshi likataka kumpindua na kitabu nimekutajia mbona unanirudisha huko?

Yani huu uraia hatujaukubali, bado tupo kwenye makabila.

Sasa Joe Biden aje kuongoza Afrika kwa kuwakilisha kabila gani?
 
Jerry Rawlings wa Ghana baba yake alikuwa mzungu Muingereza.
 
Rish Sunak, mhindi kabisa kwa asili anaiongoza Uingereza.

Why not Africa?
 
Kuwa majority hakukupi haki zaidi ya ku own nchi.

Afrika bado tunabaguana wenyewe kwa wenyewe kikabila hatujakubali mzungu kuwa raia Afrika nishakueleza matatizo aliyopata Nyerere kwenye suala hili mpaka jeshi likataka kumpindua na kitabu nimekutajia mbona unanirudisha huko?

Yani huu uraia hatujaukubali, bado tupo kwenye makabila.

Sasa Joe Biden aje kuongoza Afrika kwa kuwakilisha kabila gani?
Sio Waafrika wote, mataifa kama Zambia, Ghana, Botswana na Namibia wanawakubali sana wazungu hawana shida nao na wazungu wamweza kupata vyeo vikubwa sana katika hizi nchi, haitashangaza kwao kuwa na Rais mzungu wakati fulani.
 
Back
Top Bottom