Moto umewaka Barrick

Nilishuhudia kwa macho yangu kabisa kuna jamaa aligeuka kuwa kiziwi baada ya kufanya kazi Barik zaidi ya miaka 6 kwenye machimbo kutokana na makelele ya Compresors akageuka kuwa kiziwi kabisa kabisa. Masikio yake yalianza kutoa damu, hatimaye alifukuzwa kazi baada ya kuambiwa eti hana uwezo wa kazi tena.


Duu umeandika kichochezi.....sheria za kazi unajua unasemaje? mtu akiwa out of work kwa miezi mitatu na sita? Je barrick hawakufanya juhudi za kumhudumia wakati wote!!
 
Back
Top Bottom