Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Geita Gold Mine na Nzega Resolute ndio hakufai kabisaaa, wazawa wanazalilishwa, wananyanyasika, wanafukuzwa na hata kutandikwa makofi ni mfanyakazi mmoja tuu tena binti aliye thubutu kwenda mahakani na akaweza kuisimamia kesi yake adi kikaeleweka
Resolute Nzega ni noma jamaa yangu mmoja yuko pale idara ya security akikusimulia unaweza kudhani nchi hii hakuna Serikali. Watu wananyanyaswa, wanatukanwa, wanatishwa nk. Pamejaa wa-South Africa, ambao hawajui lolote lile lakini wanajiita Specialist! mshahara wao ni balaa na posho yao kwa wiki ni USD 600, wakati watanzania wanalipwa 400,000@mwezi.
Hao wakuu wa Security nasikia walishapelekwa hadi UHAMIAJI lakini jamaa anahonga kiaina na anashinda. Niliposikia hii kweli niliona nchi hii haina Serikali iweje mtu hajui hata kutumia shotgun anafundishwa na supervisor mswahili lakini mshahara wake analipwa x15 zaidi tena kwa USD?